Tatizo lolote la PC/device

Cheki ram mkuu kwanza kama unaweza fungua then jarbu kuzitoa Kisha urudishe uone kama kutakuwa na mabadiliko

Pirate
Mkuu Ram nishazitoa sana na kuzirudisha lakini bado screen haiwaki! Na huo mchezo wa kutoa Ram nilikuwa naufanya mda mrefu tuu ilikuwa inawaka halafu inaleta error message sasa ukitoa ram 1 inapiga kazi fredh coz PC yangu ina ram 2 sasa safari hii hata ukitoa ram hakuna kinachoendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Then itakuwa ni hardware problem, sana kutokea kwenye motherboard mkuu

Pirate
 
Ivi nawezaje kucheza games kama fifa kwenye pc ambazo hazina graphics card na isilete zengwe la kuganda ganda

rap beast
 
Nina laptop acer aspire 5732z naweza pata betri yake wapi? Sasa hivi nipo kakonko mkuu
 
Ivi nawezaje kucheza games kama fifa kwenye pc ambazo hazina graphics card na isilete zengwe la kuganda ganda

rap beast
Sizani mkuu kama utaweza labda zile za Zaman sana kama kuanzia 2008 kushuka chini

Pirate
 
Kuna laltop HP inasumbua kuingiza chaji mda mwingine inaingiza lakin kama baada ya saa1 hv inaacha tatizo nini msaada tafadhali
 
Kuna laltop HP inasumbua kuingiza chaji mda mwingine inaingiza lakin kama baada ya saa1 hv inaacha tatizo nini msaada tafadhali
Two possibilities problem

# 1 battery

# 2 power charger


Kama battery inaweza ikawa inaanza kufa so kama upo vizur kanunue jipya

Kama charger inawezekana ikawa Ina tatizo kwenye upande wa kufanya converting AC to DC so take precautions kwa Hilo mapema

Pirate
 
Ata kkoo ni sawa tu ili mradi kama una mawasiliano nao unisaidie
Sina # mkuu but hopefully uwez kukosa maduka pale watayoweza kukusaidia

Pirate
 
Yaweza kusumbua kusoma kwasabab performance ya pc yako si compatible sana naona na ext

Pirate
 
Poa poa
 
kuna term ambazo unaziongea hata sizijui km nilivyokuelezea mwanzo window nimefanya kuwekewa. kpnd hiki ndo inaniandikia window outdated, update your window inter keys? ?? ndo hivyo tu boss wng

Sent using Jamii Forums mobile app


Hopefully it'll help you out brother

Pirate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…