Mimi natumia destop aina ya dell optplex ile ya tower,nkiwasha haiwaki inawasha taa nueundu kama indikator ya gari katika batani ya kuwashia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nisaidie,natumia simu galaxy Note 4,nimeweka.line ya Halotel,sasa nataka nibadilishe line niweke Airtel au Tigo. Tatizo nikiweka hiyo airtel au tigo simu ina drain battery faster sana. Hata kama chaji iko 100%nikiweka hizo line ndani ya dk 10 inanyonya chaji na ikifika 40% inazima kabisa. Ukiunganisha kwenye chaji inaanza kuchaji from 40%kwenda juu,ukiwasha chaji inaanza kushuka tena mpaka nitoe hiyo line husika nirudishe halotel. Ni nini inaweza kuwa tatizo?Yaweza kusumbua kusoma kwasabab performance ya pc yako si compatible sana naona na ext
Pirate
Unatumia kama hot spots center au unatumia USB tethering??Mimi nna tatizo la kifurushi. Toka miaka mingi ni.ekuwa natumia simu kama modem lakini kama wiki mbili zilizopita nikiunga net kwenye laptop kwa kutumia simu gb inaisha hata dakika kumi nyingi.
Nimefatilia kama window inaupdate nkakuta hakuna. Nimepiga voda customercare wakaahidi kulitatua hola, nimeenda mwenyewe vodashop lakini bado tatizo linaendelea. Kuna siku juzi nilikiwa naupload kitabu cha mb 14 ili kitoke pdf kuwa word na kukidownload kikiwa na mb 24 nilitumia gb 1.4 kwa sh 3,000. Kwa kweli hii hali inantia hasara, nifanyeje
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh I'm not sure mkuu em ngoja waje wengine tufanye sharing ya mawazoMkuu nisaidie,natumia simu galaxy Note 4,nimeweka.line ya Halotel,sasa nataka nibadilishe line niweke Airtel au Tigo. Tatizo nikiweka hiyo airtel au tigo simu ina drain battery faster sana. Hata kama chaji iko 100%nikiweka hizo line ndani ya dk 10 inanyonya chaji na ikifika 40% inazima kabisa. Ukiunganisha kwenye chaji inaanza kuchaji from 40%kwenda juu,ukiwasha chaji inaanza kushuka tena mpaka nitoe hiyo line husika nirudishe halotel. Ni nini inaweza kuwa tatizo?
Taa nyekundu au orange??
Pirate
Natumia hotspot centreUnatumia kama hot spots center au unatumia USB tethering??
Pirate
Possibility kubwa em fanya setting upya na hiyo wireless name na password, ** namaanisha badilisha na labda utumie peke ako kwanza kama ulikuwa unatumia na watu wengine,
Mmh I'm not sure mkuu em ngoja waje wengine tufanye sharing ya mawazo
Pirate
Cooling system problem!Mkuu pc laptop inapata joto sana hadi kuzima
Tatizo ni playback device imekuwa disabled, cha kufanya right click kwenye hiyo volume icon Kisha uende sehem iloandikwa playback device Kisha enable speakersMkuu pirate hii desktop itakua tatizo ni nini!? Haitoi sauti mpaka uconnect na external speakers au earphone. Kwenye icon ya speaker inakua X..
Ni desktop ya Hp, window 7.