Tatizo lolote la PC/device

laptop toshiba, imepoteza sauti ghafla mkuu hata nkichomeka earphones sisikii chochote
 
Nna hp compaq nc6000 nmeeka window 7 haitakoli kumaliza installation,ina ram 512mb,hdd 40gb tunafanyaje niweze ku enjoy na laptop yangu maana mpaka saiv haiwaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naombeni mnielekeze namna ya kuweka window kwenye Pc,kiukweli nateseka na natumia gharama kuwekewa window kwa mafundi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni playback device imekuwa disabled, cha kufanya right click kwenye hiyo volume icon Kisha uende sehem iloandikwa playback device Kisha enable speakers

Pirate

Ahsante mkuu, ni drivers zilikua zimemiss sasa inapiga kazi..
 
Hatimaye nimemaliza Uzi wote 1-16.

Asanteni wajuzi wa mambo.
 
Nna hp compaq nc6000 nmeeka window 7 haitakoli kumaliza installation,ina ram 512mb,hdd 40gb tunafanyaje niweze ku enjoy na laptop yangu maana mpaka saiv haiwaki

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana iyo cd/USB flash ndio aijakuwa complete au imeharbika kwaiyo ushaur jarbu kutafuta CD nyingne au flash nyingne ambayo ipo complete itamaliza vizur

Au labda kama ukiona inaendelea kugoma Sema inatokea error gani ili lijulikane tatizo labda

Pirate
 
Natumia Acer E15
Shida yangu ni mouse yake, nahitaji single click naipata vipi maana hapa natumia kubonya kabisa kama zilizyo mouse za kawaida

Mimi nahitaji niclick kwa touch tu
Msaada wajuvi

"mwanaume mashine"
 
Yani unataka kufanya right-click au just click??

Pirate
 
Nataka ni upgrade Ram kutoka 4GB kwenda 8GM N5050 Dell. Natafuta RAM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…