Tatizo lolote la PC/device

Asante saaana mkuu

"mwanaume mashine"
 
AISE MKUU NASHUKURU. IMEPONAAAAAAAA! NIMETUMIA HERUFI KUBWA KWA MSISITIZO, UBARIKIWE....
 
Asante sana mkuu.

Pc yangu joto na muungurumo wa fan uko normal lakini haijawahi kunionesha tabia yoyote isiyoya kawaida.

Haichagui shughuli, niwe nafanya typing , kusikiliza music au kuangalia filamu, au niwe nasoma notes au hata nikiiacha on bila kufanya shughuli yoyote hua inajizima tena bila kuleta warning sms yoyote.

Nili unstall Nili unstall kisha nika install windows 7 professional lakini tatizo bado liko palepale.
 
Asante sana mkuu.

Pc yangu joto na muungurumo wa fan uko normal lakini haijawahi kunionesha tabia yoyote isiyoya kawaida.

Haichagui shughuli, niwe nafanya typing , kusikiliza music au kuangalia filamu, au niwe nasoma notes au hata nikiiacha on bila kufanya shughuli yoyote hua inajizima tena bila kuleta warning sms yoyote.

Nilikua natumia windows 7 professional nika unstall kisha nika install windows 7 professional nyingine lakini tatizo bado liko palepale.

Msaada mkuu.
 
NP-NC215 switch yake iko ubavuni ni ya kubonyeza.

mkuu kama bado imekugomea umeshawahi kufanya HARD RESET kama bado basi fanya...

kwa msaada wa HARD RESET ni hivi

chomoa waya kama ipo kwenye umeme , baada ya hapo toa betri liweke pembeni kisha ibonyeze na kuishikilia button yako ya kuwashia kwa sekunde 30(kumbuka hapa usichomeke waya wa charge wala betri ) baada ya hapo rudisha betri, iweke kwenye charge kama dk 5 kisha iwashe tena uone kama kuna mabadiliko yoyote.
 
ok kwa mara nying uwa inajizima kwa baada ya muda gan?.,
na kila muda inajizima baada ya muda uo uo au muda mwingine uwa inakaa muda zaidi?
na inapowaka kwenye windows boot up screen inaandikaje?

kukusaidia kwa mbali ni ngumu kuliko kukusaidia nikiwa karbu so ndio maana nakuulza maswali mengi kidogo nijue jinsi tunalitatuaje tatizo
 
Laptop yangu Dell inspiron 1 5 300 series ukibonyeza power button Haistart Ila inawasha indicator tu haiboot wala kuonyesha chocolate,
Fan inazunguka na mlango wa cd unafunguka fresh tu.
Je tatizo nini maana nimebadilisha RAM hola
 
unamaanisha kwenye kioo aionyesh kitu?
 
Natumia windows 8.1 tatizo haina sleep option!
Nawezaje pata hiyo option ya sleep?

Natumia windows 8.1 na ubuntu 16 ila sipati option ya kuchagua hizo os 2 inawaka window moja kwa moja.
Naomba msaada plz nawezaje pata os zote 2 nichague nayotaka?
 
laptop ya hp compac 6910b imekufa kioo natafta replacement yake. Naweza kipata kwa mafundi gani?
Pia hiyo kamba ya power button imesagiga nataka mpya.
 
Muda wa kujizima unatofautiana, kuna muda inakaa hata masaa mawili bila kujizima lakini kuna muda ukiwa unafanya shughuli hiyo hiyo inachukua dk 30 mpaka 45 inajizima.

Mkuu mimi bado nahitaji msaada wako kadili inavyowezekana.

Ikizimika, nikiiwasha inaleta ujumbe huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…