Pc yangu nikiunganisha intanet inakula mb sana, yaan gb1 inakwisha ndani ya dk1. Tatizo nini wajuzi?
PC yangu ilikataa kuchaji gafla..ikawa ikizima ndio inachaji ikiwa on haichaji.. Tatizo ni nini wadau... Mwishoni haiwaki tena
hello members...nahtaj msaada..macbook yangu ni v10.7.5 au Lion version..kila nikidownload app appstore inanambia nahtaj v10.8 had v12 kabisaa..
nmeshindwa kudownload app nyng na za muhmu sana.kwa yyte anayeweza kunisaidia hli jambo..au anisaidie direct link za google ili niweze ku download hzo app...
mkuu pirate kuna swali moja watu walielezea sana kuhusiana na pc kuzima ghafla na baadae display kutoonesha chochote ila taa za kwenye keybord kuwaka na kuzima kama indicator hili tatizo limekumba pc yangu nilikuwa naitumia vizuri sana ikazima tu ghafla.
Now nikiiwasha tu feni inazunguka sana afu taa za kweny keybody zinawaka na kuzima karibia saa nzima ni hvyo hivyo nimejaribu kutoa betri na kuwasha bila betri lakni bado nikachomoa ram na kuwasha bila ram iko vile vile nifanyejena tatiz ni nini? Ni hp elitebook
Wakuu msaada kama Pc yangu processor ni intel celeron na ram ya 2 gb naweza change Ram iwe 4 Gb
Pc yangu aina ya dell ukitikisa stand(meza)ambayo nimewekea basi inazima nini tatzo pia tatzo la kuleta mawimbi mawimbi kwenye screen nini tatzo
Nina pc yangu hp inatatzo la kuzima zima ovyo kwa kigezo cha kuovercome heating lakini mimi spendi izime kutokana na nature ya kazi yangu nayofanyia nini tatizo(n.b setting zote za sleeping ziko sawa)
Nna pc nikiplug tu adapter kwenye port ya power inawaka na kuzima continously....tatizo litakua nini
Tatizo la pc kila napo connect na internet browser zinafinguka na kuanza kufungua website kama zote nali sove vp na linatokana na nn ?
Hiyo internet unaunganisha kwa modem au simu?
Na je unatumia window gani kwenye pc yako?
Asante mkuu nimekusoma vizuriHapo nadhan hiyo slot ya power supply kuna tatizo so nadhan ni tatizo la umeme kushindwa kuwasiliana na entire system.
Kwa sababu unapochomeka umeme huwa unasambaa kwenye system nzima so kama kuna bugs lazima pc izime.
Solution hapo peleka kwa fundi wakaangalia hiyo power supply