Pc yangu aina ya dell ukitikisa stand(meza)ambayo nimewekea basi inazima nini tatzo pia tatzo la kuleta mawimbi mawimbi kwenye screen nini tatzo
mkuu pirate kuna swali moja watu walielezea sana kuhusiana na pc kuzima ghafla na baadae display kutoonesha chochote ila taa za kwenye keybord kuwaka na kuzima kama indicator hili tatizo limekumba pc yangu nilikuwa naitumia vizuri sana ikazima tu ghafla.
Now nikiiwasha tu feni inazunguka sana afu taa za kweny keybody zinawaka na kuzima karibia saa nzima ni hvyo hivyo nimejaribu kutoa betri na kuwasha bila betri lakni bado nikachomoa ram na kuwasha bila ram iko vile vile nifanyejena tatiz ni nini? Ni hp elitebook
hello members...nahtaj msaada..macbook yangu ni v10.7.5 au Lion version..kila nikidownload app appstore inanambia nahtaj v10.8 had v12 kabisaa..
nmeshindwa kudownload app nyng na za muhmu sana.kwa yyte anayeweza kunisaidia hli jambo..au anisaidie direct link za google ili niweze ku download hzo app...
Habari zenu.pc yangu ni kama tv umeme ukikata nayo inazima.nilinunua betri mpya ilivyoisha chaji mambo yakawa ni yaleyale.kwa ufupi haichaji.nn tatizo. Ni Samsung
Mie tatizo langu ni kuwa nashindwa kuscroll kwa kutumia vidole viwili kama zamani. Pc yangu Notebook HP 250 G3 niliinunua ikiwa na window 8.1 na nilikuwa naweza kuscroll kwa vidole viwili. Lakini window ilicorrupt nikaipiga chini. Nimeinstall upya window hiyo hiyo lakini tangu hapo siwezi tena kuscroll kwa vidole viwili.
Naomba msaada wadau.
Nina Toshiba ilikuwa inasumbua speakers niliifungua ili nirkebishe kabla sijamaliza niliifunga baada ya kufunga keyboard hazifanyikazi ,na nimejaribu kutumia external keyboard lakin hairespond
Nna laptop ilianza ukiwa unacheza video au movie ina scrach au kustak flan kama vile imelemewa na mzigo inakiwa nzito.
Ukicheza audio inakuwa poa. Nikakomaa kui update wapi, update bios bila bila, weka sound driver mbalimbali updated hola.
Nilikuwa nimeweka window 8 nika upgarade to 10, tatizo lipo palepale, nikashusha hadi 7, tatizo palepale. Nikaenda XP hakuna uponyaji.
Ikabidi nirud win 7, nikawa sina namna, sasa saizi hadi audio uki play tatizo limeongezeka inakuwa kama na play video. Ina stack na kuskip kama CD au DVD mbovu ndio inachezwa.
Kwingine naona ipo poa tu, speed nzuri kwenye mambo mengine ya ku navigate from place to place.
Msaada mwenye ufumbuzi
Boot up password mkuuJe ni boot up passwords? Au Windows password?
OK simply solution inawzekana ikawa ni CPU Inafanya over-heat (inapata joto) kupitiliza, so cha kufanya mpelekee huyo fundi labda aweke CPU cooler paste inaweza ikasaidia,
Or
Inawzekana pia motherboard sio compatible ni CPU aloiweka
Pirate
Mkuu Asante kwa elimu . Nadhani Nina shida hio hio pc yangu ilikua poa saana as of recently ukiwasha inanguruma sana then inapata moto then inazima hii CPU cooler paste kwa estimates na ufundi inaweza ku cost kiasi gani na wapi naweza pata Fundi mzur