Tatizo lolote la PC/device

Wakuu msaada hapa, nimejaribu hizo option zote hapo chini bado inakataa, Pc ni hp Pavilion g6.Natanguliza shukran
 
Je kila kitu kinakubali? Au ni hiyo keyboard pekee?

Tuanze na hapo kwanza,
[/QUOTE
tatizo no keebody hazirespond niliambiwa tatizo in window lakini nikijaribu keyboard nyingine hazikubali
 
Ram 4GB na Hard disk ya 500GB vyote vinauzwa kwa LAKI MOJAA. Vyote vya laptop aina ya HP.
 
Ram 4GB na Hard disk ya 500GB vyote vinauzwa kwa LAKI MOJAA. Vyote vya laptop aina ya HP.
 
PC yang HP 340 sioni Bluetooth hata nikicheki kwenye device manage siioni sijui nifanyaje niiweke kwa PC yangu
 
Blue screen mwenye kuiweza?
 
Kuna application za password recover au clear,
Zipo nyingi ukisearch kwa google.
Ila.mie nimezoea kutumia hirens pasword recover.
Kuna pc nimesahau password nikiwasha tu inanitaka niingize password ili iweze kuendelea sasa nimesahau msaada tafadhali naomba
 
Ni touch? Na unashindwa kuscroll pekee au hata kuopen application nyingine?
Jaribu nenda kwenye settings search mouse response kitu kama hicho.
 
Ni tatizo ambalo huwa linatokea mara kwa mara.
Umeconnect 10 pc kwa network pamoja na printer,
Gafla pc 2 zinashindwa kuprint( kila kitu kipo vizuri ukiangalia tatizo printer spooler ina stop running) uki restart printer spooler na ukirestart inafanya kazi.
Swali langu unawezaje kuzuia isiwe inazingua maana leo pc 3 then unapambana kesho nyongine 2 siku nyinge zinarudia zile zile 3 za mwanzo.
Tatizo limekuwa kubwa hata kwenye pc ambazo zimekonect printer kwa usb.
 
Np Dar weekend hii nitakuwa Mwz nahitaji:
CD window 7&10
IDM
Game la Euro Track
Antvirus.
 
Kuna application za password recover au clear,
Zipo nyingi ukisearch kwa google.
Ila.mie nimezoea kutumia hirens pasword recover.
Sasa utàdownload vipi wakati pc bila kuendelea na process nyingine haikubali?
 
Habar mwalimu wa computer
naomba kujua njia ya kufanya Ili desctop yangu isile umeme
shukrani
 
Mkuu hiyo alama nyeusi baada ya neno parimatch.co.tz nimeanza kuiona tokea jana, je inamaanisha nini?
 
Wakuu,
Naomba msaada pc yangu imekuwa slow Sana, Ile cursor kuisogeza ni kazi mno, ina load Sana kufuangua file utakalo click.Ukiwasha pale HOME inakuandikia activate windows.

Msaada tafadhali.Ni dell,ina windows 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…