Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 642
- 609
Mkuu hiyo alama nyeusi baada ya neno parimatch.co.tz nimeanza kuiona tokea jana, je inamaanisha nini?View attachment 1250760
Pc yangu inachaj mwisho asilimia 80 tatizo ni nini
Wakuu,
Naomba msaada pc yangu imekuwa slow Sana, Ile cursor kuisogeza ni kazi mno, ina load Sana kufuangua file utakalo click.Ukiwasha pale HOME inakuandikia activate windows.
Msaada tafadhali.Ni dell,ina windows 10
Sasa utàdownload vipi wakati pc bila kuendelea na process nyingine haikubali?
Ni tatizo ambalo huwa linatokea mara kwa mara.
Umeconnect 10 pc kwa network pamoja na printer,
Gafla pc 2 zinashindwa kuprint( kila kitu kipo vizuri ukiangalia tatizo printer spooler ina stop running) uki restart printer spooler na ukirestart inafanya kazi.
Swali langu unawezaje kuzuia isiwe inazingua maana leo pc 3 then unapambana kesho nyongine 2 siku nyinge zinarudia zile zile 3 za mwanzo.
Tatizo limekuwa kubwa hata kwenye pc ambazo zimekonect printer kwa usb.
cjaelewa mkuuKagua hiyo connection kama ipo correctly configured maana inawezekana haijakaa vizuri so inavutana
Azima pc za watu kisha downaload na hamishia kwenye flash then zima pc yako kisha washa na chomeka hiyo flash ukifika kwenye boot utaletewa option na utamaliza mchezo.
Maana katika hizi password kuna Bios password na window password.
Pia kuna software inaitwa window password unlocking enterprise hii nayo ni nzuri sana na kuondoa hizo password ni njia ya kureboot kisha unachomeka flash au CD yenye hiyo software
Apo hard disk cio nzima probably!Kama unaweza ipeleke kwa Fundi akuchekie video card labda ndio source ya matatizo yotte.
Je uwa unacheza video games , kama uwa unacheza uwa azigandi gandi?
Kuna Possibility kubwa sana kuwa harddisk yako imekufawakuu pc yangu nilikuja tu nikawasha nikaplya music mara nikashangaa video zinaplay kwa kuscrach nikasema nirefresh mara kadhaa ila wap...nakasema nirestart ikawaka ila mpaka kuja kufika kwenye kuweka pasword ilikaa kama dk 10...nikaweka paswod ikafunguka nakaplay tena tatizo likawa pale pale nikasema nirestart tena mara ikachukua nusu saa mpaka kuja kuwaka baadae ikawa ndo aifunguki kabisa inaonesha mwanga tu...nikasema ni window nimepiga window zote ikifika kwenye kuisntall window inaesabu taratibu sana kwa mfano 1% inaweza kaa nusu saa mpaka lisaa...mara inasebu ikifika maali istop kabisa....mpaka sasa nimeiweka tu sijajua tatizo ni nn....pc ni dell inspiron....hdd 500 Ram 2.1ghz...msaada wakuu
Ni either mashine yako ina overheat na kusababisha proceessor ku- slowdown au hdd imekufa...jaribu kushughulikia cooling kwenye mashine yake though sometimes processor ikichoka pia hasa kwa baadhi ya probook na sony mambo hayo hutokeaWakuu nina pc hp probook 6370b, tatizo lake ni kustaki mara kwa mara, ukifungua file inaandika "not responding" na kama kulikuwa na program inaendelea kama muziki/ muvie itastop then baada ya muda kidogo inarespond kama kawaida, nimejaribu kucheki naona ziko sawa, nimebadili windows mara kadhaa lakini bado, tatizo linaweza kuwa linasababishwa na nini wakuu
Pc yangu inachaj mwisho asilimia 80 tatizo ni nini
Betri hapo ndo shida
Salaam wakuuI
Same nipo kwa field hii (ICT) kwa aka zaidi ya tano,ka kuna la kushare nipo imara kwa hili humu kama mtaani nipo Kigamboni Maweni kwa Ofisi yaitwa "Vuguvugu" na more na whatsapp kwa Tigo ya "Sifuri Sita Tano Sita Sita Sifuri Sita Sita Mbili Saba"
Asante mkuu ngoja nishughulikie hikiNi either mashine yako ina overheat na kusababisha proceessor ku- slowdown au hdd imekufa...jaribu kushughulikia cooling kwenye mashine yake though sometimes processor ikichoka pia hasa kwa baadhi ya probook na sony mambo hayo hutokea
Pc yangu nikiunganisha intanet inakula mb sana, yaan gb1 inakwisha ndani ya dk1. Tatizo nini wajuzi?