Tatizo lolote la PC/device

Ni Asus computer x540s
Kama ni laptop ishu kubwa inakuwaga invertor ambayo hiyo ipo kwenye laptop za zaman, ila kwa msaada zaidi ungenielezea ni pc gani, pamoja na model yake kabisa

Sent using my 6x6 bed.
 
Mkuu HSDPA modem yangu hai connect na imepoteza uwezo hata wa kutuma text, kupiga simu au kuruhusu the incomming call kama ilivyokuwa inafanya mwanzo... mwanzo ilikuwa innaconnect lin zota baadae ikawa inaconnect tigo tu nikafuta file lake na nika unstall nilipo restall fail haikurudi na hapo ndo ikawa hai connect mazima... now ukicconnect inaweka dial failed:618 au dial failed:638 na 628 wakati mwingine... naomba kuwasilisha.
 
Mkuu naomba msaada ninatumia PC aina ya ACER..hii machine shida yake ni kuwa keyboard system imekaa hovyo, yaani haileti mpangilio wa kawaida, kwenye keypad Z nikibonyeza inatokea Y, na nikibonyeza Y inatokea Z na keyboard number 1 hadi 10 hazifunction kabisa na zile alama kama + = ,.'] - ziko in long keypads...nimejaribu kuchungulia YOUTUBE lakini hola naomba msaada tafadhali...
 
Daaaah hiii kitu rahisi sana Mkuu.
Kuna keybod zina mifumo 3 tofauti.
Keybord yako imeanza na herufi gani 6 za mwanzo mkuu;
1. QWERTY - input method Language ni English.
2. AZERTY - Inputmethod Language iwe France/Spanish ama Belgium
3. QWERTZ - input method Language iwe German.
Hiyo Keybod itakua saaaaaaaafi.
Namna ya kufikia hapo.
Control Panel
Clock, language Region
Change input method
Add Language (as per your keybod)
Lastly remove the Previous existing Language.
Rudia mara 2 kwisha jeuri yake.
 

Hapo mkuu kama unaweza inabid utafute Fundi aanze kuchek processor ya hiyo pc, cjui kwa mazingira ulipo ni wapi, lakin tafuta Fundi ambaye anaweza kufungua pc atakusaidia.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Tafuta original OS ya hiyo modem mara nying zinapatikana online for free kisha restore itarud vizur


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
pc imepigwa shoti

ila ukichomeka chaji taa za pembeni zinawaka

ila ukiiwasha haiwaki pc

tatizo nini

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama ilipiga shoti tafuta Fundi ambaye ataitoa shoti kwanza, kisha kama tatizo lisipokuwa solved Fundi atarekebisha zaidi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu nisaidieni hapa, Nina laptop ina partition mbili, moja ina window na nyingine ina staff zangu.
Hii yenye staff zangu inaonesha kabisa ina file zenye size flani, ila ukiclick kuifungua inasema iko empty (kwa maana haina chochote)
nahisi ni mdudu virus, nimejaribu njia tofauti kumuondoa lakini wapi.
Picha ya kwanza hapa chini, inaonesha kabla sijaclick kuifungua

Picha hii ya pili ikiwa imefungulia


Msaada wakuu nina shida sana na file zangu
Cc: Chief-Mkwawa kcamp et all
 
Unajua ku enable hidden files mkuu, ni windows gani hio? Tungeanza hapa pa kuangalia files zilizofichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…