Tatizo lolote la PC/device

Natafuta sound driver ya window 7 professional


Mashine in GX620, nimetafuta mtandao nimechemka kabisa msaada wakuu
 
Hio sio bios. Bios ni ile Unazima pc ukiwasha unaambiwa ubonyeze f2 ama F10 ama F12 kutegemea na pc then inawaka upande mwengine tofauti na windows.
Mkuu sorry for late replies,,,
Nmeingia kwny bios sehem nlokutana na neno network adapters ni hii tu na hakuna maelezo ya ziada,, je kuna namna nyngne ya kuangalia hzo network adapter hapa kwny bios?
 
Sorry niende tab ipi specifically mana kuna tab 4 hapa.
1.main security tab
2.diagnostic tab
3.system configuration tab
4.exit tab
Bios na bios hutofautiana hazifanani ila angalia kwenye system configuration hapo, kama kuna Bluetooth ipo disabled utaitick kuifanya iwe on.
 
Bios na bios hutofautiana hazifanani ila angalia kwenye system configuration hapo, kama kuna Bluetooth ipo disabled utaitick kuifanya iwe on.
Sawa sawa
Nmepitia Tab zote, mstari mmoja baada ya mwngne, sjaona popote palipoandikwa bluetooth mkuu
 
Ngumu kupata unless fundi anaichomoa kwenye laptop mbovu.

Bei around 30k
Ok thanks kwa hyo kiufupi ni kwamba hii PC haina uwezo wa kuconnect Bluetooth

By the way nashukuru sana kwa msaada wako, umekua ukisaidia sana hapa jukwaan.

Asante chief mkwawa a.k.a mkwavinyika chief mnyigumba! [emoji3577]
 
msaada nimepoteza sensor ya keyboard aina ya Logitech naweza pata kile ki USB peke yake?
 
MKUU SAMAHANI, NINA PC YANGU YA SAMSUNG NILIIBADILISHA WINDOW NIKAWEKA WINDOW 10 NA MWANZO PIA ILIKUA NA WINDOW 10 PIA ILA BAADA YA KUIBADILISHA KUNA BAADHI YA MAFAILI YAMEJILOCK, YANI KUNA PICHA NA BAADHI YA VIDEO NA AUDIO ZIMECHORWA KUFULI ZIKIANZA TU KUPLAY ZINALOCK NAOMBA UNIELEWESHE ITAKUA NA TATIZO GANI?
 
Ngumu kupata unless fundi anaichomoa kwenye laptop mbovu.

Bei around 30k
Mkuu kesho naenda karia koo nipo Dar saivi kwahiyo nimepata hiyo laptop yenye i3 1005g1 sasa naambiwa ni brand new na mimi sijui kama nikitaka kuingizwa cha kike ni dakika tu, sasa nitatambuaje kama laptop ni Used au Refurbished wakati wa kuikagua?
 
Pc yangu aina ya toshiba portege cursor yake ina move automatically left corner to right corner via diagonal.
Nimejaribu kubadili windows lakini bado inasumbua nikiwasha tu cursor ina move crazy.
Nimejaribu kwenda kwenye cursor option na ku untick option zote lakini bado inazingua
Naomba msaada kwa tatizo lini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…