Tatizo lolote la PC/device

Mkuu kesho naenda karia koo nipo Dar saivi kwahiyo nimepata hiyo laptop yenye i3 1005g1 sasa naambiwa ni brand new na mimi sijui kama nikitaka kuingizwa cha kike ni dakika tu, sasa nitatambuaje kama laptop ni Used au Refurbished wakati wa kuikagua?
Chukua warranty ya manufacture, hapo dukani. Na ngumu hio laptop iwe refurbished maana ni gen moja kabla ya latest, bado hazijatolewa maofisi ya ulaya kuja kuuzwa kwa wingi huku.
 
Mkuu umejaribu kudisable touchpad mazima na kutumia tu mouse ya nje kama desktop?
 
Likoma ipo kkoo maeneo gani mkuu?
Pale agrey na msimbazi kwenye simu mtaa unaofuatia ndio likoma, kuna maduka mengi sama ya Computer, pia lipo jengo jipya linaangalizana na bank ya mkombozi Ghorofa zima ni maduka tu ya Computer.
 
Pale agrey na msimbazi kwenye simu mtaa unaofuatia ndio likoma, kuna maduka mengi sama ya Computer, pia lipo jengo jipya linaangalizana na bank ya mkombozi Ghorofa zima ni maduka tu ya Computer.
Mkuu asante sana mzigo nimeuchukua kariakoo kwa 1.1M aisee
 
Mkuu umejaribu kudisable touchpad mazima na kutumia tu mouse ya nje kama desktop?

Hapana mkuu ila nakumbuka nili uninstall driver za touchpad mkuu ila tatizo bado linaendelea hadi nafikilia kuiza japo pc yangu naipenda sana
 
Hapana mkuu ila nakumbuka nili uninstall driver za touchpad mkuu ila tatizo bado linaendelea hadi nafikilia kuiza japo pc yangu naipenda sana
disable touchpad, angalia hapo kwenye fn kuna shortcut ya kudisable

ama alternative nenda setting kisha device kisha touchpad iweke off.
 
Nina Toshiba laptop. model C655, baada ya kuinstall windows 10, baadhi ya keys zake hazifanyi kazi, nifanyeje ili zifanye kazi nikizibonyeza?
 
Wakuuu nilikuwa na pirika nyingi nyingi nikawa sijaingia kwenye uzi mda mrefu kidogo, nashukuru kwa kusaidiana kujibu changamoto na sasa nitajitahidi kujibu pia na kama kulikuwa na swali alijajibiwa nitajihidi kulijibu cha kufanya andika swali kisha nitag, japo nikichelewa kujibu wapo weng Pia wenye uelewa humu jamvini pia wataweza kulijibu.

Karibuni
 
Kama upo vizuri kwenye PlayStation tenda msaada

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…