Nahitaji msaada wa kufungua akaunti yangu imeblokMkuu sijakuelewa vizuri ila, but unaweza kuliweka swali wapo wangi pia humu wana uelewa wa vitu vingi
Deki ya DVD inaitwa panasonicMkuu ni deki ya??
disable touchpad, angalia hapo kwenye fn kuna shortcut ya kudisable
ama alternative nenda setting kisha device kisha touchpad iweke off.
Kama storage ni Unlocated ina maana haijakuwa assigned drive mfano local disk C ama D etc. Kama computer inawaka una assign tu si kazi.Mkuu heshima yako, kuna PC hapa imeletwa toka Japan.
Haina HDD ina mwanzoni wakati napiga Windows 10 HDD ikawa inasoma 29.1 nikaitumia then nikaja kuipiga tena Windows 10 hapo ndio kisanga kikaanza.
Ukifika step ya kuchagua partition inaandika YOU CAN'T CREATE PARTITION IN THIS UNALLOCATED DISK.
NIkajaribu kununua HDD mpya aisee inatakiwa Hdd Cable ili niweze kuconnect na motherbody.
Pc ni Dell Inspirion
Kama storage ni Unlocated ina maana haijakuwa assigned drive mfano local disk C ama D etc. Kama computer inawaka una assign tu si kazi.
Hio sio ssd ndio maana ina gb chache hivyo? Jaribu kuitoa tafuta adapter ya External ku assign hio drive.
Alternative fanya clean installation futa kila kitu.

Kama hio model ya pc imefichwa na flash unaweza ukapiga picha bila flash ama uniandikie model hapa?
Kama hio model ya pc imefichwa na flash unaweza ukapiga picha bila flash ama uniandikie model hapa?
NIMEANGALIA hii video mkuuDell Inspirion 14 5100View attachment 2059262
NIMEANGALIA hii video mkuu
1. huo mkanda nimeuona, the way ulivyo vyema tembelea machinga complex ama likoma/aggrey kkoo utafute laptop mbovu mbovu uchomoe, sina uhakika kama spare zipo madukani.
2. alternative mlango wa cd nao ni Sata waweza weka HDD kwenye mlango wa Cd case zipo kibao mitaani.
Kwa nn usitumie windows zngne kama window 8 au 8.1?Habari wakuu
Naombeni msaada wenu
Pc yangu inatumia data nyingi kupita kiasi. Ina window ten pro.
Nimejaribu kusolve kwa njia nyingi zinazooneshwa na google lkn sijafanikisha.
Saidia hapa
Habari wakuu
Naombeni msaada wenu
Pc yangu inatumia data nyingi kupita kiasi. Ina window ten pro.
Nimejaribu kusolve kwa njia nyingi zinazooneshwa na google lkn sijafanikisha.
Saidia hapa
Nimefanya hivi;Umetumia njia zipi kuzuia data zisiwe kubwa??
Na je matumizi yako ya data yapoje?
Na unatumia mtandao gani kupata data connection?
Asante kiongozi.Kwa nn usitumie windows zngne kama window 8 au 8.1?
Nimefanya hivi;
1.Nimezuia background apps zote zisitumie data.
2. Nimeset metered connection
3. Nimeweka data limit per day ( lakini data nazotumia kwny simu kwa wiki, hazitoshi kwenye PC kwa masaa 2 wakati kazi nazofanya ni zilezile)
Natumia mtandao wa Tigo