Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
Zima pc, halafu washa, the bonyeza F2 mara nyingi nyingi mpaka Pc itaingia bios,Mkuu hapo sijakuelewa naomba ufafanuzi tafadhari pc ni dell latitude 6420.
Mkuu hapo kwenye command umelist disk imekuja disk 1 then u kachagua disk 0.Hii yangu inagomea apo kwenye ku delete ni hp elite book ssd 256 .
Naomba msaada apo
Desktop langu nililiwekea SSD ya 2TB, sasa ukiwasha linashindwa kujua windows hiko wapi. Lenyewe linachagua hiyo SSD wakati windows iko kwenye Harddisk ya 500Gb.Mkuu hapo kwenye command umelist disk imekuja disk 1 then u kachagua disk 0.
Most of time HDD ikiwa na windows kutumia windows kusolve issue zake inazingua, kama una flash pembeni jaribu kutumia bootable Linux distro then format ama fanya unachotaka kufanya kutumia Linux.
Virus hao.Mim nkityp alaf nisev kwenye flash niktaka kuprint inaonesha shotcut yan inakuw bado inaonyesha bado iko kweny word ikiwa kweny flash tatizo nin? Hp
Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Unaingia bios (F2 most of time) halafu unaenda boot order hakikisha hio hdd inakua ya kwanza.Desktop langu nililiwekea SSD ya 2TB, sasa ukiwasha linashindwa kujua windows hiko wapi. Lenyewe linachagua hiyo SSD wakati windows iko kwenye Harddisk ya 500Gb.
Mpaka nibonyeze f12 wakati wa kuwasha ndo nilichagulie. Nifanyeje liweze kuwaka bila kubonyeza f12
Thanks tayariUnaingia bios (F2 most of time) halafu unaenda boot order hakikisha hio hdd inakua ya kwanza.