Tatizo mtaji

City hunter j

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
926
Reaction score
380
Heshima zenu ndugu..
Kwa jina naitwa Amani.megraduate mwaka jana Bachelor of Accounting..Changamoto za maisha zimetanua mawazo yangu na kufikiria kufanya a small busness ambayo nauhakika itanifanya niwe independent..
Kwa ufupi tu kuhusu hyo biashara..
Mepanga kufungua sehemu ya kuchezesha games(play station 3).

Biashara inahitaji si chini ya mil 2.5.
Mchanganuo kwa ufupi
play station 3@450000(najua pa kupata kwa bei hyo)
T.v 3 inch 21@150000
frame six month 300000
inayobaki ni kwa ajiri ya vitu vidogo dogo kama mabench,meza,feni n.k.

Makadirio ya mapato
Uwezo wa kutoa hyo service kwa masaa 12..
assumption masaa 6 machine kutumika mfururizo.
Tsh.300 kwa dakika 10.
kwa saa itakuwa 10800@1 machine.
@3 machiner kwa masaa 6 32400..
Makadirio kwa siku mefanya Tsh.30000
kwa mwezi Tsh. 900000..

Eneo la biashara lina wateja wa uhakika kwa maana meshafanya uchunguzi wa kina.,
changamoto eg.umeme,wizi..Mejipanga kwa hayo..

Nyinginezo..Maxcom,tigopesa,mpesa n.k.
Na mengi ya kuandika but naomba niishie hapa.
Kwa atakayekuwa tayari kunisaidia kwa Mkopo tuwasiliane kwa number +255 714 588799
Ahsanteni
 
Unafikiri serikali ya mtaa itakuruhusu uchezeshe kwa masaa 12 kwa siku, siku 7 za wiki? Waulize wenye vijiwe vya pool table watakuambia yaliyowakuta.
 
Targeted customers ni watoto and especial wa uswahlini..kuhusu shule wana shift xo watakuw wanabadilishana and mchezaji aingii na Uniform..
 
Targeted customers ni watoto and especial wa uswahlini..kuhusu shule wana shift xo watakuw wanabadilishana and mchezaji aingii na Uniform..
Vipi kuhusu 'the capacity to buy' ya watoto wa uswahilini?
 
Game nyingi wanacheza wawili xo 150 kwa kila m1 kuchangia ili acheze naamini sio tatizo..now days watoto wa digital ni wachache wanaoenda shule bila kupewa hela.
 
mkopo anapewa mtu kwa ajili ya kuendeleza biashara na sio start up hata uzoefu wa iyo biashara huna alafu nitakuamini vip? dhamana je?
 
Unafikiri serikali ya mtaa itakuruhusu uchezeshe kwa masaa 12 kwa siku, siku 7 za wiki? Waulize wenye vijiwe vya pool table watakuambia yaliyowakuta.

njaa tu wale inabidi ale nao ili waende sawa!
 
mkopo anapewa mtu kwa ajili ya kuendeleza biashara na sio start up hata uzoefu wa iyo biashara huna alafu nitakuamini vip? dhamana je?

usimkatishe tamaa mwenzako...hata ya kuanzia ipo..wapo wanaoweza kuvutiwa na wazo lake wakamsaidia...
 
dat y cjaenda bank coz cna dhamana and uckariri dat mkopo niwa kuendeleza and nt kuanzia. Offcourse hauna 7babu ya kuniamini coz u ain't knw nothn bout me thot um sure kuna sme ladies and gentlemen here wanaoweza kuniamini jxt by reading and understng my request. chau..Thank u
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…