MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Shem kwanza acha nikusalim kwa kihabeshi , hesh lea tis?Wapendwa je wote mu wazima?
Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.
Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi kupenda? au?
Je kuna mwenzangu/wenzangu ambao wana hali kama hii?
labda wewe ndo nyumba ndogo yenyewe lol
Pal... niaje??
Nyumba ndogo haiwezi kuwa tatizo kama mister hana nyumba ndogo permanent, au kama anayo basi iko advanced na inajua mipaka yake
Lol The Boss................,
So unataka kusema nyumba ndogo once they know they are nyumba ndogo wanarelax??
hahaa nadhani wewe unajitambua wala hupekuipekui mambo yake
ila nikuulize swali...
unadhani anaweza kuwa nayo au mawazo yako ni kwamba hawezi fanya hivyo???
mi mwenyewe sipresheki kwa hili najua kuna siku mambo yatakua hadharani na ndio mustakabali wenyewe utafanyika
labda wewe ndo nyumba ndogo yenyewe lol
word!!!exactly
zipo nyumba ndogo mtu unaambiwa kabisa
wahi kurudi kwa mkeo.'sitaki matatizo mie' lol
Hahahha Shem, ndo ki-Amharik hicho nini? nashukuruShem kwanza acha nikusalim kwa kihabeshi , hesh lea tis?
Mada: Hapo red wewe ndio unajitambua na kujijua, umeielewa nature na umeiacha ichukue mkondo wake. Big up shem
Pal... niaje??
Nyumba ndogo haiwezi kuwa tatizo kama mister hana nyumba ndogo permanent, au kama anayo basi iko advanced na inajua mipaka yake
word!!!
tena unajaliwa balaa, hakuna sabuni za kunukia, timing, usilewe sana, protect your self you name it
and once you get one.... balaa
This is the type of discussion that changes my day from a sunny lovely to a rainy muddy one. . .
Mwanajamiione, nadhani sio lazima Nyumba Ndogo ikukere. wengine wanaona sawa tu. Binafsi kinacho nikera zaidi ni the lies involved. Kama mambo yote yanawekwa wazi, then people can take any decision knowing that it is based on facts, not assumptions.
Ukisema I have the perfect marriage, you know what you mean, ukisema I want to leave my man you know what you mean. But most of men lie to both Nyumba kubwa and Nyumba Ndogo who then believe in things that don't really exist and that is what makes it even uglier than it already is to me.
exactly
zipo nyumba ndogo mtu unaambiwa kabisa
wahi kurudi kwa mkeo.'sitaki matatizo mie' lol