MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #401
Sasa mjukuu, nyumba ndogo=hawara ni technically mke lakini kwa sababu ya kingo za kijamii, hawezi kuhalalisha!
Au kwa kujificha kwake ndo anakopata. Raha zake za kisheitwani....sasa hao wa kisheitwan hao huweza kuwaweka kwenye kundi lolote!!
Im outa here!
Mbu!.......................................................
Ok .....................Bahati yako, mzani umeelemea sehemu moja.....naam? Nimesomewa miranda 5th ammendment....:A S embarassed:
hahaaa mnakimbiza thread kama farasi .....hii topic si mchezo!!!!
Chauro naona wajikausha kama hunioni... Naonziomba laki moja yangu nakudai.....:biggrin:
hahaaa ndio nini kumwaga mchele hadharani AD nivumilie mwenzio natafuta wa kumuuzia deni mambo magumu
Mbu naomba niseme nawe leo.......................sijakuelewa ulivyosema mtu anacheat responsibly sweetheart.
Cheating responsibly maana yake nini? kuwa unafall in love kwa mara ya pili kwa mtu mwingine au unacheat kujazia mapungufu ya nyumba kubwa??
Unless mnipe definition ya nyumba ndogo coz ninachanganyikiwa na
1. Having an intimate love relation na mwanamke/mume mwingine other than your spouse ambaye unamtreat kama spouse wako i.e. umempangia nyumba/amaishi kwenye nyumba yake lakini unatake responsibilities zote kama unavyofanya kwa mkeo/mumeo au
2. Kuwa na ocassional sex na mtu asiye mke/mume wako more than once without being responsible na maisha yake?
kwa maisha ya siku hizi ambapo kila mtu anatafuta opportunities popote zinakopatikana (shule, short-term kazi, etc) kila siku tutakuwa barabarani.............. leo baba anamfwata mama china, kesho mama anamfwata baba Sweden........ kaazi kweli
Mapenzi yanasumbua wengi sana humu.
Eh Babu DC, unawezanifafanulia kwa nini unampa RR mandatory ya kuifunga hii thread?? ameifungua yeye? je mimi kama mimi nimeridhika? mbona hunitendei haki Babu DC??
Nilikua sijagundua raha ya hii topic ni kusoma michango sio kuchangia....lol
ukiweza kufanya hivyo
nitaomba uandike pepa
maana utastahili dk ya uvumbuzi
hakuna kitu utamfanyia mwanamme
afikirie kutulia tu
they are explorers
Tangawizi,
Ndo maana immediately unahitaji kuwa na nyumba ndogo maana kubwa imekuwa 'kubwa' kweli inakushinda kumanage... usivae kiatu kinakubana muda wote hadi miguu itoke malenge lenge...tafutapo na makubaz ya saizi yako....
Kua uyaone mtoto wa kike...ingelikuwa kama mambo mengine yana breki kama za gari, ungezikamata kabla mambo hayajaharibika. Ila hata ndege wajanja wananasa na tundu bovu, lol!
Hehe he he umeamua kunisema hadharani he msome AshaDii hapo chini kwenye red huo ndo msimamo wangu....Mwajuma
Umenisoma Mwajuma???:A S-coffee:
Kwani wewe una immunity ya kudumu kwenye haya mambo??
When I was 4, I thought as a 4 years old and had so many plans up to when I grow up.
When I was 12, I couldn't wait for some stuff to happen in my life
When I was 18, I had so many opinions on how I would make it right and correct all the mistakes of my whole clan
Now that I am here, on the top and looking at the aerial view of the big picture, I realise my ancestors were wiser.
I wanna be 4, worry about the school porridge and if my nanny would let me sneak my friends into the house after school and before I write my numbers!
Husninyo, this is for you gal. Kweli kua uyaone, utagundua mamako alikuzidi akili na ujanja pia!
dah! Hivi kweli wanawake wote humu ndani mnaamini kwamba hakuna mwanaume anayeweza ishi bila nyumba ndogo?
Na wanaume wote humu ina maana mna nyumba ndogo.