Tatizo na Nyumba Ndogo...


RR my dear...

Love and lies are inseparable; sometime we lie on simple innocent things so that we dont hurt loved ones feeling; but stikcing to the mada
a man or woman wont share his/her infidelity issues with partner.... lakini a true man will always say it clear kwamba he is married/engaged, and what is happening is purely infidelity with no intention ya further committment unless kuna matatizo kwenye ndoa

kumbuka i wont leave my wife go to the streets wonder for a lady charm, prequalification is a continuous process and flirts are orders of our lives

what matters is respect!!! kama kuna mtu anakula mke wangu, nisijue na mke wangu asilazimishe nimchunguze... na kama nimepata nyumba dogo, basi zisiingiliane kabisa na ndoa yangu, kinyume na hapo ni kumaliza hiyo engagement haraka sana
 

basi ukiendelea hivyo itakusaidia saana
sometimes tunavuta vitu kwa hisia zetu
ukiweka hisia kuna nyumba ndogo
itakuja hata kama haikuwepo
 
ukiona hivyo
ujue ushakua sasa
ushaanza tabia za kimama

angalia mama zetu walivyokuwa
analetewa hata mtoto wa nyumba ndogo na analea tu

ndo maana napenda slogan ya babu ODM
'cheat responsibly'

 
word!!!

tena unajaliwa balaa, hakuna sabuni za kunukia, timing, usilewe sana, protect your self you name it

and once you get one.... balaa

Etii?.............. hakuna sabuni za kunukia dah..thanx for the tip Kamanda! and when you say once you get one it means???
 
MTM My dear

If one respects his wife and the promise he made to her mbele ya Mungu kanisani, mbele ya Serikali ya Nchi yake na Mbele ya wazazi wao wote, ndugu, jamaa na marafiki, one doesn't get a nyumba ndogo, one doesn't cheat on his wife.
Nyumba ndogo ni alama ya kukosa both upendo na heshima kwa mke wa ndoa, na kwa anae cheat mwenyewe. A real man don't just say to people he meets out there kwamba he is a married man, he acts like one.
The same is valid for real women.

 
hii shingo nzuri
ndo tunazosema 'shingo ya upanga'

ila napenda zaidi kile kifua kilichoondoka 🙂

RR... me love that neck in the avatar, sexy!!!:nerd:
 
RR... me love that neck in the avatar, sexy!!!:nerd:
Nenda page ya Adriana Karembeu, pata hii picha ilipo, mgongee like. hahahaha

pole kwa discussion hii kubadili mood yako
Thank you Boss... Kwanza ngoja nitoke tu hapa, MTM amesha anza kunipotezea mood. lol

hii shingo nzuri
ndo tunazosema 'shingo ya upanga'
ila napenda zaidi kile kifua kilichoondoka 🙂
Na wewe kamgongee like huyu mdada kwenye homepage yake. hahaha
 
Hahahha Shem, ndo ki-Amharik hicho nini? nashukuru

mh...........mie hadi naogopa maana nahisi pengine ni ishara kuwa sijawahi kupenda! ingawa najiona am head over heels !

Mimi napenda mwanamke anifikirie pia bana! kama yeye ana uhakika hawezi kunipatia ile kitu at least kila baada ya siku 2 na anajua mimi nikiikosa ile kitu kwa siku 2 napoteza memori mpaka za besdei yangu, sasa hauoni kwamba kunibania nyumba ndogo ni mateso? (Huu ni mfano tu). Mwanamke anaempenda na kumfikiria mwanaume lazima atamwachia tu. Shem hauna ndugu wa kike mwenye msimamo kama wako? lol
 

Mupenzi

i didnt know we were sharing true life experience.... so whatever i wrote is what i perceive to be right my dear

whatever you read doesnt mean ni mimi nafanya

Au si ndio dhana ya MMU kuwepo?? kupeana kapiriensi na maujanja???
 

umenigusa paka kwenye maini .
 

Nadhani umejikatia tamaa kuachana na mambo ya kuktesa wakati mumeo hataiacha. Vizuri kujipa raha mwenyewe kuliko kuteswa na mambo ya nyumba ndogo, maana mume akishapenda hawezi kuiacha nyumba ndogo kama haijamkorofisha.
 
Mupenzi

i didnt know we were sharing true life experience.... so whatever i wrote is what i perceive to be right my dear

whatever you read doesnt mean ni mimi nafanya

Au si ndio dhana ya MMU kuwepo?? kupeana kapiriensi na maujanja???
I didn't mean kua ni experience yako... Ngoja nipige editing basi nieleweke vizuri, isionekane personal attack. Sorry if I made you feel that way.
 
I didn't mean kua ni experience yako... Ngoja nipige editing basi nieleweke vizuri, isionekane personal attack. Sorry if I made you feel that way.

AISEE... RR kumbe ana soft spots, yuhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

halafu mambo ya kuedit post zangu aisee; si utakua unasoma post nnazomwandikia mpoleeeeee

Me love this sunday, :focus:
 
AISEE... RR kumbe ana soft spots, yuhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

halafu mambo ya kuedit post zangu aisee; si utakua unasoma post nnazomwandikia mpoleeeeee

Me love this sunday, :focus:
I just edited what I said, sikugusa ulicho sema wewe... Halafu mpolee yuko wapi? anasoma hata sunday? ukimuona mpe salam.
 
Umenikumbusha kisa cha King Solomon kwenye biblia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…