Tatizo na Nyumba Ndogo...

Duuuu,

RR, sikujua kwamba huwafahamu wanaume kiasi hicho????

Babu DC!!
Babu...
I don't need to know all men. It is too ambitious and almost impossible to know them all. Ila I know my man, na tunaongea sana kuhusu haya mambo (just like I discuss them with you now). Na nilichoandika hapo ni how mimi na yeye tunaperceive a real man, na cheating. that is OUR understanding.
Niliacha room wazi kwa wanawake wengine kua na understanding tofauti, just like wanaume wengine wanaweza kua na understanding tofauti.
All I did was to expose my point and now I am explaining my point, sisemi kua what I know or what I say ndio the norm (but I would love to :tongue: )
 
Kuna sababu za msingi za kuwa nyumba ndogo? Maana kama zipo basi inawezekana kabisa ukaamua kutojari sana mambo mengine, hasa lile la kujihakikishia unamiliki mali kwa asilimia 100.
 
FP na Chauro,

Ama mmeshamalizana na umri wa kudanganyika na mapenzi ya egoli egoli (bongo movies type) na tamaa ya kuvishwa pete, au ni wanawake wa enzi zetu za 1947 ....au umri na uzoefu umeshawakomaza. Hii itakuwa imewasaidia kujua kuwa mwanamume ni kiumbe huru kama kuku wa kienyeji, ambaye hata akizurura vipi; lazima awahi nyumbani kabla giza halijaingia!!

MJ1 anaelekea huko....ingawa RR bado kabisa!!

Babu DC!!
 


Kaka,

Mwanamume yeyote (ukiachia wachache sana, including labda akina NN), hana sababu yoyote ya kusubiri ruhusa ya mke wake ili akachepuke nje....Testosterone inafanya kazi yake 24/7


Hizi issues ni ngumu sana na ndiyo maana ushauri wangu ni kwamba kila mtu achukue tahadhari kwaa ajili ya usalama wake na mwenzi wake!!

Babu DC!!
 
sina uhakika na Chauro, ila kwangu hujakosea kabisaaaaaaaaaaaaa, sijui na mimi nijipe title ya bibi humu! au tayari yupo? au tunaruhusiwa kuwa wengi?
 
umesema kweli babu DC aproaching my 30s this year nimeona mengi na wkt mwingine huwa nahukuru kwa kuyaona yale niliyoyaona kwenye umri mdogo yamenikomazaa mapema sasa kila linalokuja mbele ya macho yangu huwa nashukuru kwa yote na kutafuta a possitive way ya kumaliza badala ya majibizano yasiyo na tija.
 

RR,

Samahani sana kama nimeonekana kuku-attack personally...huo si utaratibu wangu wa kujadili hapa JF....

Niliona kama umeongea katika perspective ambayo ni ya jumla jumla (see red and white), na mie nikaweka maoni yangi kiujumula.

I am deeply sorry if I sounded offensive!!


Babu DC!!


 
pole sana kwa kukuzwa kabla ya muda............. kwa umri wako sasa ilibidi ndo uwe wale wanaoamini heaven on earth! lol!
 
sina uhakika na Chauro, ila kwangu hujakosea kabisaaaaaaaaaaaaa, sijui na mimi nijipe title ya bibi humu! au tayari yupo? au tunaruhusiwa kuwa wengi?

Bibi FP,

Itakuwa bomba sana kuwa nawe kwenye jukwaa la MMU....Hebu basi anza kuitumia hilo jina....

Akina Nyamayao ni wachache sana na hawaonekani mara nyingi hapa MMU,

Karibu kwenye Club ya wadau wa 1947!!

Babu DC!!
 

Ujue ukiwa mtaalam wa kitu flani huwa unakifanya bila wasiwasi wowote kwahiyo inawezekana wewe ni mtaalam wa nyumba ndogo
 
ni jambo zuri sana kuamini kile mwenzako anachokuambia................ hii ina maana hata kama atakachokuambia, kwa mdomo wake ni uongo uamini, as long as huujui ukweli unabaki kuwa fine and happy
 
kwakweli fixed point kama nilivojisemea nashukuru kwa yote nikitaka niipoteze furaha yangu ni kwa kuanza kuhesabu yaliyopita.
pole sana kwa kukuzwa kabla ya muda............. kwa umri wako sasa ilibidi ndo uwe wale wanaoamini heaven on earth! lol!
 
Bibi FP,

Itakuwa bomba sana kuwa nawe kwenye jukwaa la MMU....Hebu basi anza kuitumia hilo jina....

Akina Nyamayao ni wachache sana na hawaonekani mara nyingi hapa MMU,

Karibu kwenye Club ya wadau wa 1947!!

Babu DC!!
Asante sana babu DC!
hata mimi nimemmiss sana Nyamayao, sijui tunapishana? alikuwa ananifurahisha sana na mabandiko yake.... yale maneno yetu ya mwaka 47!!!!!!!!!!!!
ngoja nimPM kujua kama yupo bomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…