umesema kweli babu DC aproaching my 30s this year nimeona mengi na wkt mwingine huwa nahukuru kwa kuyaona yale niliyoyaona kwenye umri mdogo yamenikomazaa mapema sasa kila linalokuja mbele ya macho yangu huwa nashukuru kwa yote na kutafuta a possitive way ya kumaliza badala ya majibizano yasiyo na tija.
histori ni nzuri kama ni good, kama bad ni bora kuizika na ku-go onkwakweli fixed point kama nilivojisemea nashukuru kwa yote nikitaka niipoteze furaha yangu ni kwa kuanza kuhesabu yaliyopita.
Me too babu DCAhsante sana Chauro,
Umenisaidia kuprove kuwa uzee (tena ule wa kweli ambao siyo mcharuko) ni zawadi kutoka kwa Mungu na wanapewa wachache sana...
I am proud to be one of them!!
Babu DC!!
ha haaaaaaaaaaa, kama kawaida RR,
babu DC anasema huyo bado yupo kwenye mapenzi ya Egoli, bado hajawajua wanaume. tumvumilie tu, siku zinakuja.
mie namwombea yasimkute
sababu anasikiliza na kuamini anachodiskass na mme 100%
atashindwa ku-cope maana anaonekana hajajiandaa hata kidogo.
Labda awe mzungu au mswahili kakulia huko magharibi.
Lakini hawa wa hapa hapa, mmmh! Kazi ipo.
Bora tu wajifunze doing the wrong thing right.
mimi pia simwombei yamkute maana siyo experience nzuri...........mie namwombea yasimkute
sababu anasikiliza na kuamini anachodiskass na mme 100%
atashindwa ku-cope maana anaonekana hajajiandaa hata kidogo.
Labda awe mzungu au mswahili kakulia huko magharibi.
Lakini hawa wa hapa hapa, mmmh! Kazi ipo.
Bora tu wajifunze doing the wrong thing right.
you can say that again............Huyo ndiye Kongosho....
Shemale of the year!!!
Babu DC!!
mimi pia simwombei yamkute maana siyo experience nzuri...........
na pia nimemuomba aendelee hivyo hivyo kuamini kile anachoambiwa na mumewe mpaka atakapo-prove otherwise
mmm mmm! ukitaka uishi kwa amani inabidi iwe the other way round.......... "Innocent until proven guilty" lol!ni kweli
kuna umri eti nilikua naamini kabisa nachoambiwa na mwanamme?
Siku hizi nimechange mentality kabisa
'guility until proven innocent'
basi imebaki kula maisha tu.
Huyo ndiye Kongosho....
Shemale of the year!!!
Babu DC!!
ni kweli
kuna umri eti nilikua naamini kabisa nachoambiwa na mwanamme?
Siku hizi nimechange mentality kabisa
'guility until proven innocent'
basi imebaki kula maisha tu.
ukitaka uishi kwa amani inabidi iwe the other way round.......... "Innocent until proven guilty" lol!
ukitaka uishi kwa amani inabidi iwe the other way round.......... "Innocent until proven guilty" lol!
Wewe umestukia siku hizi?
Wenzio tumefundishwa na kukua nayo hayo toka enzi zile za 1947!!
Ni dawa tosha ya shinikizo la damu na kiharusi!!
Babu DC!!
ukimwamini sana mtu
siku unamshika na dada kiboga
nakwambia ni ambulensi na drip na ving'ora kwenda hospital
lakini hii ya kusema, najua anaye, lakini kama ananiheshimu na kujificha simwoni am happy
napika na kula na watoto, yeye mwenyewe anawahi kurudi? Sina habari
hata siku ukimshika unajionea kawaida tu.
labda wewe ndo nyumba ndogo yenyewe lol
polee sana
Siku ukiletewa gonjwa la zinaa utaendelea kutokushtushwa na kutokupata shida?
NN hili nalo neno............tatizo ni kuwa angalau ukiona dalili unawezahisi kuwa ndio mambo ya nyumba ndogo but mimi kuhusisha mabadiliko ya mwenzi wangu na nyumba ndogo inanichukua muda sana, ila haimaanishi kuwa nikigundua inahusika sitachukua hatua ila tu sitishiki nayo. Yaani ile ya oh nifanye hili ili niibeat nyumba ndogo mwe sina ndo maana nahisi nina tatizo.