Tatizo namba moja la Yanga ni Clement Sanga

Afadhali ngoma kaenda kuwa mzigo kwa wengine.
 
kinacho onekana ni kutakuwa na kutemwa kwa wachezaj weng msimu ujao..hvyo hzo n mbinu za kuwatoa wachezaj katka mood..
Hata wakiambiwa suala la kutemwa wasiumize kichwa cha zaid ni wao kufikiria kuondoka wenyewe kwa hali hii...
Sidhan
 
Tutaelewana na lugha itakuwa moja ni suala la muda tu.
 
Ngoja waje na historia ya marehemu ya ubingwa mara 27
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…