vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Kiukweli putin kwa miaka kumi iliyoipita kwa kiasi amefanikiwa kuisumbua USA kutotimiza malengo yake kwa asilimia mia moja
Kuanzia kule mashariki ya kati,syria na hata sasa Ukraine
Lakini tatizo ni moja anayepambana na USA ni Putin na si nchi ya Russia
Ukisoma kitabu cha the power of delayed gratification
utaelewa kuwa USA ni nchi hatari sana wanatumia kila fursa watakuondoa tu ni km vile fisi ambavyo huamini ipo siku mkono wa binadamu aubugie ndivyo wakubwa walivyo
Putin akianguka Russia atarudishwa kule kule alipotoka
Uki trace miaka 20 ya Putin akiwa kiongozi wa nchi amefanya nini utagundua ametumia miaka hiyo kuitangaza Russia ulimwenguni baada ya kuanguka lkn mkakakati upi anauweka yeye akiwa nje ya Kremlin ni kwamba ni hakuna
Kwahiyo USA ina deal na Putin haijalishi watampata lini lkn siku zote adui yao huwa hafikishi miaka 40 ya kuwasumbua watamsubiri watamfyeka
Ningetamani Putin aijenge Russia yenye nguvu lkn bado hajafanya ivyo ila amejijenga yeye km powerful
Hivyo hivyo kwa Uchina, Uchina wana chama chao chenye nguvu cha CCP
Nje ya Ccp China ni sawa na tembo wa kuchora
Ccp ikianguka ndio kwa heri china
Tofauti na USA ambayo wao hawaamini ktk mtu ila wanaamini USA come first