ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Nahisi kama kuna majuto muda si mrefu
Jose Ni mmoja wa managers Best kabisa duniani
Nahisi kulihitajika subira kwanza kama waliokua nayo arsenal walivyomvumilia arsene wenger
Sidhani kama mwalimu atakaefuata atakua bora kama ambavyo yupo Jose
Uongozi mkuu wanahitaji muda kutatua tatizo na Si ku kurupuka.
Nadhani yale ni maamuzi mazur tu kwa joseNahisi kama kuna majuto muda si mrefu