sindano inauma
mwezi uliopita niliugua malaria
doctor kaniandikia sindano
bahati niliwahi kusoma ile karatasi ya dawa kabla hajanikabidhi
hapo hap kabla hajamaliza
mimi :doctor umeniandikia sindano
doctor ilibidi acheke kwa jinsi nilivyo
hamtaki
mimi: hunichomi sindano nikichoma mwili mzima unaumuka mwili wangu haupatani na vitu vya chuma
ilibidi doctor atulie akaniangalia akajua hili unaogopa sindano ila alinibadilishia na kunipa doz ya vidonge
yote hayo nijitihada za kukimbia sindano
misindano mingine inakuwa mirefu kama yakuchomea ng'ombe kukimbia lazima