wana JF nawasalimu ktk jina la Allah! Nahitaji mchango wenu katika hili, hivi suala la wanaume kuwa na maneno matamu au ushawishi mkubwa ni kigezo tosha cha kuwafanya dada zetu wasiwe strong kwenye kufanya maamuzi? Mimi sidhani kama utakuwa na akili timamu kama utafanya uamuzi Fulani eti kisa jamaa kakushawishi au kangangania kupita kiasi!! Nawaomba dada zangu mtumie akili kidogo kuwakabili hao makakaz!
don take it personal, ni mtazamo tu!!
this is nature!.............wana jf nawasalimu ktk jina la allah! Nahitaji mchango wenu katika hili, hivi suala la wanaume kuwa na maneno matamu au ushawishi mkubwa ni kigezo tosha cha kuwafanya dada zetu wasiwe strong kwenye kufanya maamuzi? Mimi sidhani kama utakuwa na akili timamu kama utafanya uamuzi fulani eti kisa jamaa kakushawishi au kangangania kupita kiasi!! Nawaomba dada zangu mtumie akili kidogo kuwakabili hao makakaz!
don take it personal, ni mtazamo tu!!
wana JF nawasalimu ktk jina la Allah! Nahitaji mchango wenu katika hili, hivi suala la wanaume kuwa na maneno matamu au ushawishi mkubwa ni kigezo tosha cha kuwafanya dada zetu wasiwe strong kwenye kufanya maamuzi? Mimi sidhani kama utakuwa na akili timamu kama utafanya uamuzi Fulani eti kisa jamaa kakushawishi au kangangania kupita kiasi!! Nawaomba dada zangu mtumie akili kidogo kuwakabili hao makakaz!
don take it personal, ni mtazamo tu!!
Maamuzi yepi ndugu yangu maana maamuzi yako ya aina nyingi, na kwenye mambo mengi hata kama ni uhusiano.....
The bottomline is wote hushawishika kutegemeana na wakati/mahali, hali mhusika aliyo nayo ( furaha, upweke, amani, ugomvi,kujiamini etc)..... na inategemea huyo mshawishiwa ana trade-off nini kwa wakati ule.....[/QUOTE]
huku ndiko KUSHAWISHIKA kwenyewe
ushawishi kwenye nini sasa ? kutongoza ,kutoa maamuazi ya kijamii au?
Mbona mnaumia kila siku bila hata kujitambu akuwa mnaumia?na wakiwa waangalifu kidogo tu, tumeumia!!!!!!!!!!!
mi nafikiri waendelee hivyohivyo nasi tufaidi!!!!!!!!!
Mbona mnaumia kila siku bila hata kujitambu akuwa mnaumia?
Mbona mnaumia kila siku bila hata kujitambu akuwa mnaumia?
SMnajaribu kuelewa ila napata sana ugumu wakuelewa kila kitu hapa,wakina nani wanaumia na kwalipi hasa?
wanaumia au wanaumizana?
maana ninacho fahamu mimi nikua,"waweza jua kua unakula,kumbe na wewe pia unaliwa bila ya kujifahamu"