Kum-wish rafki yako cku ya birthday yake sio tatizo, tatizo ni pale unapomwambia "uishi miaka buku" au "uishi miaka miaka mingi kama no za vocha" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] as if we ndo mtoa roho alaf ndo umempa ofa ya miaka mengne ya kuishi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] my dear, em kuwa siriaz kdgo, yan acha kuingilia kaz ya mungu
[HASHTAG]#HappenOnlyInTZ[/HASHTAG]