Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Mzee baba yupi mkuu?hata mzee baba speech zake za ngeli akizijaribu kimoyo-moyo anatiririka balaa ila akipanda jukwaaani utaona aibu wewe kwa niaba yake
hata mzee baba speech zake za ngeli akizijaribu kimoyo-moyo anatiririka balaa ila akipanda jukwaaani utaona aibu wewe kwa niaba yake
wewe jua tu ni mzee baba inatosha.Mzee baba yupi mkuu?
Nimeshamfahamu tayari unaemuongelea mkuu.wewe jua tu ni mzee baba inatosha.
Daaaah. Kama juzi kati alivyokuwa anaongea na yule mkandarasi wa kike, aibu niliona mimi kabisa kabisahata mzee baba speech zake za ngeli akizijaribu kimoyo-moyo anatiririka balaa ila akipanda jukwaaani utaona aibu wewe kwa niaba yake
Ni yule anayesema hostage badala ya hostess!O
Nimeshamfahamu tayari unaemuongelea mkuu.
O
Nimeshamfahamu tayari unaemuongelea mkuu.
Mkuu naogopa kumtaja maana ni mtu mzito.funguka kwa faida ya wengi
Ili kuboresha English ya kimoyomoyo ni vema kuvuta na bangi ya kisirisiri.Hivi vitu vinaendana sana.
HahaaaIli kuboresha English ya kimoyomoyo ni vema kuvuta na bangi ya kisirisiri.Hivi vitu vinaendana sana.
We acha tu mkuu some time hata free style za kimombo huwa na flow hata EMINEM hanifikii ila tu nkiufumbua tu nakuwa kama wanyakusa wakisema TUNUNUTuko pamoja mkuu hata mm nakuunga "mkonyo" [emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We acha tu mkuu some time hata free style za kimombo huwa na flow hata EMINEM hanifikii ila tu nkiufumbua tu nakuwa kama wanyakusa wakisema TUNUNU