Hahaaa!!dahhata mzee baba speech zake za ngeli akizijaribu kimoyo-moyo anatiririka balaa ila akipanda jukwaaani utaona aibu wewe kwa niaba yake
IPO siku watu watajua tu kuwa kiingereza ni lugha tu na,sio kipimo cha akili ...O
Nimeshamfahamu tayari unaemuongelea mkuu.
Ongea na wewe tukusikie!IPO siku watu watajua tu kuwa kiingereza ni lugha tu na,sio kipimo cha akili ...
Ata machizi wanakiongea
yangiOngea na wewe tukusikie!
Najivunia lugha yangu Kiswahili na kiarabu..
yangi
[emoji28] [emoji28]Kwani lazima utoe sauti?
We endelea kuongea kimoyo moyo hivyo hivyo mkuu.
Kuna English ya kimoyomoyo
[emoji28] [emoji28]hata mzee baba speech zake za ngeli akizijaribu kimoyo-moyo anatiririka balaa ila akipanda jukwaaani utaona aibu wewe kwa niaba yake
Mboyoyo mingi!Najivunia lugha yangu Kiswahili na kiarabu..
yangi
Mboyoyo mingi!
Nini kabangaDuh....