Habarini ndg zangu?
Maada inajieleza hapo juu...
hajui afanye nini?
na hajui inasababishwa na nini?
na ni ugonjwa gani?unatibiwa vipi?
Nimeambatanisha picha kwa ufafanuzi zaidi..
Msaada wenu ni muhimu mno
umeambatanisha na picha ya uke husika...?
duu mkuu umedhamiria kweli kweli.
Habarini ndg zangu?
Maada inajieleza hapo juu...
hajui afanye nini?
na hajui inasababishwa na nini?
na ni ugonjwa gani?unatibiwa vipi?
Nimeambatanisha picha kwa ufafanuzi zaidi..
Msaada wenu ni muhimu mno
[/COLOR]
Hahahaha..mkuu umetisha sana!
te..te,..te...teee.....maana kasema kaambatanisha na picha..
Hiyo ni Venereal Watts. Inatibiwa kwa kuiunguza na gesi ya hydrogen. kama ikisambaa itamsumbua sana wakati wa kuinguza na hiyo gesi. Mpe pole sana alimkubalia mtu mgonjwa kuingia pale sehemu-sehemu.
Daah...hii sentensi ya mwisho kama inaweza zua mtafaruku hivi.
ni vizuri lakini ikaeleweka imetoka wapi. au?
Hadi mtu anamiliki picha ya eneo la tukio atakuwa anafahamu ilikotoka
Amejipanga kutatua tatizo..
ahaa....tena lita tatulika kwa namna yoyote ile.