Tatizo nini hapa

ELNEY

Senior Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
106
Reaction score
48
Habari wana jf.
Ngoja niende direct kwenye mada kwamba nini sababisho kwa huyu mwenza wangu ana mtoto wa pili saizi lakini tu kiwa kwenye mgegedo namuandaa vizuri kabisa nahakikisha papuchi ina ute wa kutosha lakini naishia kupiga goli two mke wangu ananiambia kuwa papuchi yake inauma sanaaa na alienda kukojoa anaumia shidaa nini jamani msaada please.
licha ya kuzaa ina ana papuchi nzuri sanaa


Maoni wadau
 
Nenda nae hospital akapimwe kizazi na njia ya mkojo.
Wahi nafasi ni chache!

Kwa Hisani Ya Watu Wa Mbeya!
 
Huwenda mkeo anasumbuliwa na ugojwa unaofahamika kama PID(Pelvic inflammatory disease) chakufanya mpeleke hospitali akapimwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…