Mambo niaje wana jamvi, kuna kitu ningependa tuchangiane mawazo.ivi inakuaje mpaka mtu anapoteza ladha aliokuwa anaipata kutoka kwa mpenzi wake. Hapa nina maana kuwa msichana au mvulana kutokuwa na hisia za kimapenzi juu ya mpenziwe. kuna ndugu yangu ameniambia kuwa siku izi amekuwa hana hisia hata kidogo juu ya mpanzi wake na anamuna kama mtu wa kawaida sana ila hajajua tatizo ni nini....ivi inakuaje haya mambo naomba mchango wenu.
Hiyo ni kawaida kabisa. Ni asili ya binadamu kupungukiwa au kuishiwa na hamu ya kitu au vitu fulani. Na hii wala si ngumu kutambua. Katika maisha tu ya kila siku hata wewe mwenyewe hii hukutokea na huhitaji kubadilisha. Sasa ikija kwenye mapenzi sijui kwa nini mizozo huzuka.
Mambo niaje wana jamvi, kuna kitu ningependa tuchangiane mawazo.ivi inakuaje mpaka mtu anapoteza ladha aliokuwa anaipata kutoka kwa mpenzi wake. Hapa nina maana kuwa msichana au mvulana kutokuwa na hisia za kimapenzi juu ya mpenziwe. kuna ndugu yangu ameniambia kuwa siku izi amekuwa hana hisia hata kidogo juu ya mpanzi wake na anamuna kama mtu wa kawaida sana ila hajajua tatizo ni nini....ivi inakuaje haya mambo naomba mchango wenu.
Kufanya kitu kile kile, wakati ule ule, sehemu ile ile, yaani leo kama jana kama juzi lazima hamu iishe.
Kuishi kwa mazoea kunapunguza hamu, muishi kwa namna ambayo mpenzi wako hajui kesho kutakuwa na nini katika maisha yenu ya kimahusiano.
Kila siku iwe ni siku mpya hata kama yatafanyika yale yale yafanywe kiutofauti.
Mambo niaje wana jamvi, kuna kitu ningependa tuchangiane mawazo.ivi inakuaje mpaka mtu anapoteza ladha aliokuwa anaipata kutoka kwa mpenzi wake. Hapa nina maana kuwa msichana au mvulana kutokuwa na hisia za kimapenzi juu ya mpenziwe. kuna ndugu yangu ameniambia kuwa siku izi amekuwa hana hisia hata kidogo juu ya mpanzi wake na anamuna kama mtu wa kawaida sana ila hajajua tatizo ni nini....ivi inakuaje haya mambo naomba mchango wenu.
Ndo maana nilisema ni vizuri kupenda kabla ya kutamani badala ya kutamani ndo ufikirie umependa!!
Huyo either ameshapata alichotamani sasa hakimtamanishi tena au kile alichotamani hakipo hivyo anamuona mwenzie yupo yupo tu!
Tamaa haina mwisho
Alichokipata kitachuja atatamani kingine
mapenzi yanatakiwa utundu pia sio mnakua vile vile tu kila siku lazima mtachokana! ikitokea kila siku unamuona mpenzi wako mpya yani kama mmejuana jana vile, mambo yanakua saaafi! sasa wewe unakuta mpenzi wako tokea umemjua staili ya kuvaa ileile,mapishi yale yale, kitandani style zile zile tatu za kila siku, kutembea kila siku anapendelea paleple,mawazo yake nayo yale yale. kwanini usiboeke