Tatizo Nini

Chanzo cha matatizo haya ni kuwa mwanzo kilichowafanya mkawa pamoja ni mwili sio upendo,haya matatizo yanawapata vijana wengi sana!

Kweli mtupu
 
Hata kama ni love inaweza ikawa hivyo.wabongo tunasahau kwamba upendo ni kama bustani inahitaji kupaliliwa na kumwagiwa maji.inabidi atafute njia ya kuurudisha ule moto wa penzi uliokuwepo mwanzo..kunauwezekano wanapendana ila wamechokana
 
kuishi kwa mazoea kunapunguza hamu, ni kweli
 
Hata kama ni love inaweza ikawa hivyo.wabongo tunasahau kwamba upendo ni kama bustani inahitaji kupaliliwa na kumwagiwa maji.inabidi atafute njia ya kuurudisha ule moto wa penzi uliokuwepo mwanzo..kunauwezekano wanapendana ila wamechokana

watu wanajibweteka tu, mtu akimpata mpenzi anafanya mambo yale yale aliyoyazoea hana ubunifu ndomana watu wanachokana
 
Watu wanachakachua hadi mapenzi ndo maana mapenzi uisha
 
Hiyo ni lazima kwa mapenzi ya vijana wa siku izi.
 
Hapo mazoea ndio yanasababisha yote hayo, hakuna ubunifu katika maisha yao. Pia inawezekana hapo hakuna mapenzi bali tamaa!
 
Kweli kabisa ubunifu ni muhimu katika mapenzi..
 
Hapana sio wanandoa ni wapenzi tu. ila mi naisi uaminifu umepotea ndo maana mapenzi yameisha

Kama niwapenzi hamna la zaidi ha ma'swagga... nafikiri bora waachie wao wenyewe watatambua...
 
Mie nadhani ni kuwa kuna vitu mwenzio hafurahishwi na mwenzie yaani anakuwa bado anamiss kitu hii itaweza kuwa na tabia ya mwenzake akisearch roho yake atajua ni nini as kuna wengine wengi inawatokea ila hawajui sababu ni nini na unakuta

Watu wanaachana wakati wangeelezana ukweli au mmoja kumbadilisha mwenzie mambo yangekuwa shwari

Kama unakuwa na mtu hakupi raha kama maongezi, roho yako inakuwa inamiss xfactor unawish angekuwa hivi vile

Ni mengi mwambie kama anaona anataka kuwa naye milele aangalie

Na yeye ajiangalie anaweza kuwa anatabia zinamfanya mpenzi wake awe alivyo so at times ni walalamikaji waka makosa
 
Amepata alichokuwa anataka so haoni if there is more, Maudhi pia yanachangia, kukerana mara kwa mara huwa sio kitu kizuri kwenye mahusiano yoyote, so may be hicho kilikuwa kinatokea na yeye alikuwa anachukulia poa
 
Mpaka sasa amefikia hatua amechoka yaan anamuona kama kero sasa ila anamuonea huruma kumwambia ukweli mpenzi wake
 
Amepata alichokuwa anataka so haoni if there is more, Maudhi pia yanachangia, kukerana mara kwa mara huwa sio kitu kizuri kwenye mahusiano yoyote, so may be hicho kilikuwa kinatokea na yeye alikuwa anachukulia poa

Mwanaume anamjali ile mbaya mpaka anaboa ndo maana hajajua kwa nn upendo unashuka
 
Mapenzi huwa hayapotei over a night just like that, labda nikubaliane na aliyesema nyumba ndogo inachangia, atakuwa alipita kuonja sehemu just once than kumemnogea so hamu na mpenzi wake imeisha kwa vile kapata appetizer sehemu nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…