mhh unatakiwa kupunguza vyakula vya mafuta vile vile nyama nyeupe kama samaki wabich kiwe chakula chako kikuu
chai yako iwe ya rangi,tangawizi,ndimu, na sukari kido
pia usisahau kutumia midalasini
na wakati watendo jaribu kuwaza mbali kidogo na siyo kuwa na hasira ya kufanya mapenzi.
hii huwatokea wapenzi ambao ni wapia ila baada ya muda tatizo linaisha.