Tatizo Rav 4 kilitime

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Wakuu nina gari yangu ni Rav 4 kill time
Since nimefunga alarm, nikiwasha taa full Gari linazimika

Je itakuwa ni ishu ya Alam au ni tatizo lingine tu?

Thank you in advance
 
itakua aliyefunga alarm kuna mistake amefanya,,kwenye ufungaji jaribu kui cancel kwanza hyo alarm,,ni rahisi tu kwenye hyo alarm kunakuaga na fuse kama tatu hivi,,mbili nyekundu moja ya blue,chomoa hyo fuse ya blue, alafu test gari yako kama umefunga alarm zile za waya nyeusi tupu hapo mpaka fundi maana itakua ngumu kukuelekeza namna ya kui cancel,
 
au ukikuta rangi tofauta ya hzo fuse we angalia tu fuse ambayo ipo kwenye waya mwekundu,.,ukishndwa muone fundi mzuri kwa msaada
 

Thank u umenipa mwanga kidogo, nitaenda kutafuta mafundi wa umeme wa magari hope they will help me
 
Kwani ni lazima kujibu kama hujui cha kujibu? Kwaiyo ww gari lako liko hivyo hivyo kama ulivyolinunua?
Wakuu nina gari yangu ni Rav 4 kill time
Since nimefunga alarm, nikiwasha taa full Gari linazimika

Haya basi ngoja nikujibu: TATIZO NI MATAIRI

Watu kama nyinyi ndio mliwatajirisha mafundi simu sababu ya kukosa reasoning. Nokia RingO ikiisha chaji mnapeleka kwa fundi, mnaambiwa profoma invoice imeungua, mnakamuliwa hela simu inachajiwa unaondoka kwa Fundi Sele umefuraaaaaahi
 
Thank u umenipa mwanga kidogo, nitaenda kutafuta mafundi wa umeme wa magari hope they will help me

utoe na mrejesho mafundi wamebaini nini.,,ila nakushaur ungeanzia hapo kwa sababu mara nyingi alarm inafungwa hapo kwenye cover la steering na maeneo hayo ndo yana hizo waya za taa,,pengne fundi alizibugudhi kwa namna yoyote,,,wapelekee mafundi wajuzi sio wale wa kufungua fungua vitu na kukata waya hovyo
 

Sasa ulitaka nisiweke Alarm? Au unatakaje?
Au kosa langu ni nn hapo?
 
Sasa ulitaka nisiweke Alarm? Au unatakaje?
Au kosa langu ni nn hapo?
Mbona we jamaa kichwa chako kizito kama boga ambalo halijakomaa?

We umeweka hapa swali lako la kizuzu, hebu jisome...usipoona ujinga kwenye swali lako nenda mbio shule kampe mwalimu wako aliyekufundisha walau 2000 ya pole.

Swali lako linafanana na mwanamke kigori mpumbavu anayeuliza: WAKATI NILIPOKUWA BIKRA SIKUWA NA MIMBA, SINCE JUMA AMENIFANYA NINA MIMBA...SIJUI MIMBA INASABABISHWA NA JUMA AU MAANDAZI NILIOKULA IJUMAA?

Una umri gani kamanda?
 
In
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ fala sana we jamaa hahaaaa!!!
 
Hahahahaaaaa! Nimejikuta nacheka kwa sauti mbele za watu. Si kwa majibu haya
 
Subiri liwake moto ndio ujifunze kutafuta mafundi professional, bure aghali.
 
Hahaaaaa
 
Hiyo full unawashaga wapi isije ndo nyie mnatusumbuaga barabarani Na mafull light
 
Mkuu nami gari yangu nikiwasha taa full taa zote zinazima. Tatizo laweza kuwa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…