MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Wandugu huyu aliyesema kwamba timu ya taifa haina lishe hajui kitu,tatizo nililoona ni stamina ,kocha alifanya kosa kupanga wachezaji bila kuwapa mbinu ya kucheza na majamaa yamevimba kama wacheza basketball, Asili ya watu wa Afirka magharibi wana miili mikubwa na ndio maana kihistoria wao ndio walipelekwa sana Amerika kuwa watumwa mashambani, na ndio maana mnaona basketball imejaa watu wenye miili mikubwa
NB: Timu ipewe mbinu ya kutokaa na mpira, mbio sana,nk
NAMKUBUKA BEKI MARIDADI NSAJIGWA (FUSO) ndio aina ya mabeki aliotakiwa kuchagua kocha.
NB: Timu ipewe mbinu ya kutokaa na mpira, mbio sana,nk
NAMKUBUKA BEKI MARIDADI NSAJIGWA (FUSO) ndio aina ya mabeki aliotakiwa kuchagua kocha.