wakati wenzetu wa kenya wanatarajia kuzindua barabara mpya yaani flyovers mwishoni mwa mwaka huu na itakuwa ndio mwisho wa foleni ya magari jijini nairobi sisi hapa dar tunapigania kujenga barabara zisizorasmi yaani (feeder roads) ili kumaliza tatizo la msangamano wa magari .nadiriki kusema ya kuwa ni lazima tujiulize inakuaje wenzetu wanaweza sisi tunashindwa?
Ukumbuke hawa maamjaa hawapewi misaadaWakati wenzetu wa Kenya wanatarajia kuzindua barabara mpya yaani flyovers mwishoni mwa mwaka huu na itakuwa ndio mwisho wa foleni ya magari jijini Nairobi sisi hapa Dar tunapigania kujenga barabara zisizorasmi yaani (feeder roads) ili kumaliza tatizo la msangamano wa magari .Nadiriki kusema ya kuwa ni lazima tujiulize inakuaje wenzetu wanaweza sisi tunashindwa?
wakuu nairobi sio dar.mwingereza alijenga kwa mipango.dar imejengwa bila mipango.unapo compare city hizo mbili unakuwa hujafanya haki yeyote.
Wakati wenzetu wa Kenya wanatarajia kuzindua barabara mpya yaani flyovers mwishoni mwa mwaka huu na itakuwa ndio mwisho wa foleni ya magari jijini Nairobi sisi hapa Dar tunapigania kujenga barabara zisizorasmi yaani (feeder roads) ili kumaliza tatizo la msangamano wa magari .Nadiriki kusema ya kuwa ni lazima tujiulize inakuaje wenzetu wanaweza sisi tunashindwa?
Nani amekudaganyana flyover moja mbili zinamaliza foleni? eti tatizo la foleni kuwa historia teh teh teh eth
Acha kudanganya watu
Hebu msaidie huyu jamaa tena umependelea sio mbili ni kamoja tu
Hiyo flyover moja wanapendezesha tu mji, lakini foleni iko palepale
nacho danganya nini? foleni dar ni kupunguza magari sio flyover.au kuweka treni.
Wakati wenzetu wa Kenya wanatarajia kuzindua barabara mpya yaani flyovers mwishoni mwa mwaka huu na itakuwa ndio mwisho wa foleni ya magari jijini Nairobi sisi hapa Dar tunapigania kujenga barabara zisizorasmi yaani (feeder roads) ili kumaliza tatizo la msangamano wa magari .Nadiriki kusema ya kuwa ni lazima tujiulize inakuaje wenzetu wanaweza sisi tunashindwa?
mkuu ID ni identity card sasa mimi ID ni achahasira wewe imekuwaje tena umeanza kuuliza ID na kutoka nje ya swali langu,nimedanganya nini?Hebu rudia kusoma ID yako
"TUMETHUBUTU
TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE"
Kauli mbiu uchwara kama hizi ndo zilizotufikisha hapa tulipo na bila CCM, kuitoa madarakani expect NOT any changes.