hakuna mji mkubwa duniani usio na foleni kuwe na mpango kusiwe, foleni palepale hata kule wanakotumia treni za spidi ya risasi kuna foleni. Ukitaka ua foleni fanya usafiri wa vidaladala bure. Kuna vinchi vya scandinavya wameanzisha haka ka systimu na foleni imepungua. lakini huko serikali ndo zinatoa usafiri sio nchi zetu za kata tunapeana lift hapa na pale na tunalipa ukipanda kihaisi kimejaa na unapumulia vikwapa vya watu kila wakati na bado unatakiwa ulipe.
Naunga mkono hii hoja yako lakini kama mabosi wengi wa maofisini wa kuonyesha mfano ni size ile ya xxxl da sizani kama wanaweza kupigia kifua baisikeli kuendea kazini kama ni karibu.Nakubaliana na wewe.
Nchi zingine wanahimiza kutumia baiskeli, na ukienda kama holland, sweden na norway baiskeli kama sisimizi. Ireland penyewe ukinunua baiskeli ya kwendea kazini wanakupa na posho kabisa.
Lakini afrika wanaojiita mabosi wanaweza kwenda kazini kwa baiskeli. Haha ha ha ha ha ha
Nimependa hako kambuyu ka stendi ya magereza. Nasikia imeshindikana kuuong'oa huu mbuyu. Hahahahaaaa, nimekumbuka lile kaburi la pale iringa, mweeeeeeeeee! waswahili kwa imani za kichawi, ndio zeeeeeeeeeeetuuuu!
Kumbe ilitakiwa sie ndo tutangulie kujenga flyovers maana tatizo la jam ni automatically kubwa Dar kuliko Nairobi. Lakini kama iwapo hata kupanga mji tunahitaji waingereza kwanini tuliomba uhuru?wakuu nairobi sio dar.mwingereza alijenga kwa mipango.dar imejengwa bila mipango.unapo compare city hizo mbili unakuwa hujafanya haki yeyote.
Kumbe ilitakiwa sie ndo tutangulie kujenga flyovers maana tatizo la jam ni automatically kubwa Dar kuliko Nairobi. Lakini kama iwapo hata kupanga mji tunahitaji waingereza kwanini tuliomba uhuru?
Unachotudanganya ni kuhusisha mpangilio wa nairobi uliofanywa na waingereza iwe ndo sababu ya kushindwa kulinganishwa na dar. Hiyo ni kutafuta kisingizio cha viongozi wetu kutokana na madudu wanayofanya.mkuu ID ni identity card sasa mimi ID ni achahasira wewe imekuwaje tena umeanza kuuliza ID na kutoka nje ya swali langu,nimedanganya nini?
alafu cha kushangaza unasema nimedanganya alafu wewe unakaa kimya bila kutoa hoja,sasa kama nimedanganya toa pointi zako hapa ili tujuwe nani mkweli.
Hizo ni solutions lakini sambamba na flyovers. Ukiangalia miji mikubwa wamepunguza foleni kwa kutumia underground tunnels, flyovers, ringroads kujenga highways zenye barabara nyingi zaidi i.e six, eight e.t.c na vile vile kuencourage public cars over private cars. Sasa baada ya post kuonyesha kuwa wenzetu wameamua kuanza na flyovers tulitakiwa tuseme sie tunafanya nini kukabiliana na jam na sio kuignore kazi ya wenzetu. Huu utaratibu wa kufumbia macho ukweli ndo umetufikisha hapa tulipo.ndugu fly overs tz haziwezi kusaidia chochote.hapa ni kupunguza magari kwakufanya watu watumie public cars na tren za underground sio kama hili litamaluza foleni bali litapubgyza kwa kiasi kikubwa sana.na mwingereza alikuwa haitaki tz alipewa ailee tu.hakuipenda milima mingi sana.
Dunia gani unayoisema? Ulaya au dunia nzima? Mbona mie nimekaa Shanghai mji una watu about million 110 lakini sijaona jamu kama Dar zaidi ya kusubiri dakika mbili au tatu ktk makutano ili mataa yaruhusu?hakuna mji mkubwa duniani usio na foleni kuwe na mpango kusiwe, foleni palepale hata kule wanakotumia treni za spidi ya risasi kuna foleni. Ukitaka ua foleni fanya usafiri wa vidaladala bure. Kuna vinchi vya scandinavya wameanzisha haka ka systimu na foleni imepungua. lakini huko serikali ndo zinatoa usafiri sio nchi zetu za kata tunapeana lift hapa na pale na tunalipa ukipanda kihaisi kimejaa na unapumulia vikwapa vya watu kila wakati na bado unatakiwa ulipe.
Magari Dar siyo mengi kiasi hicho. Tatizo ni miundombinu na kukosekana kwa barabara za kupumua.Nacho danganya nini? foleni dar ni kupunguza magari sio flyover.au kuweka treni.
Pumbavfuuuuuuuunacho danganya nini? foleni dar ni kupunguza magari sio flyover.au kuweka treni.
asante mkuu pumbafu kwako sio mpumbafu kwa mwingine, kaka tabu yenu mumeniharakia ku nijibu bila kunisoma vizuri.mkuu aliyo anzisha hii nyuzi alitaka dar tujenge flyovers,hicho kitu mimi naona hakiwezekani kupunguza foleni,kitu ambacho kinawezekana soma post zangu zingine.Pumbavfuuuuuuuu
Wewe una akili au matope kichwani ..nA nuke ndio viongozi wa ccm mnaotuongoza siwezi kushangaa wewe ni mshauri wa JK
dugu option yako nayo nzuri lkn sijuwi kama mumenielewa vizuri,flyovers dar haziwezi kupunguza na sio kama mii nasema dar mbaya imejengwa vingine,dar kubwa na haina mipango sana.nairobi na dar ni miji tofauti.Magari Dar siyo mengi kiasi hicho. Tatizo ni miundombinu na kukosekana kwa barabara za kupumua.
Kwa mfano, kwa nini mtu anayetoka Kimara kwenda JNIA apite Ubungo mpaka Buguruni? Kwa nini mtu anayetoka Kawe kwenda Kibaha aje Ubungo?
Miji mingi mikubwa ina barabara zinazoitwa circular au ring roads ambazo zinafanya watu walio sehemu za nje ya mji wasilazimike kuja katikati ya mji ili kufika sehemu nyingine nje ya mji. Dar haina.
Morogoro Road ndiyo barabara kuu pekee inayotoka Dar kwenda mikoani (ukiacha Kilwa Road). Kwa nini zisiwepo zaidi? Moja inaweza kupitia Bagamoyo (hii nasikia inajengwa) na nyingine ikapitia Kisarawe. Flyovers zitakuwa ni nyongeza tu. Haya mambo yanahitaji wataalam, siyo wanasiasa.
hapo mimi nakuunga mkono,soluntion ya nairobi huwezi kuichomeka dar,ni miji miwili tofauti.lazima tukae chini na kufanya soluntion ambazo zitatusaidia na sio kukopi pasteHizo ni solutions lakini sambamba na flyovers. Ukiangalia miji mikubwa wamepunguza foleni kwa kutumia underground tunnels, flyovers, ringroads kujenga highways zenye barabara nyingi zaidi i.e six, eight e.t.c na vile vile kuencourage public cars over private cars. Sasa baada ya post kuonyesha kuwa wenzetu wameamua kuanza na flyovers tulitakiwa tuseme sie tunafanya nini kukabiliana na jam na sio kuignore kazi ya wenzetu. Huu utaratibu wa kufumbia macho ukweli ndo umetufikisha hapa tulipo.
mwenye matope kichwani ni wewe unalalamika bila kuto option zako.kaka kumbe bado unaakili za kitotoPumbavfuuuuuuuu
Wewe una akili au matope kichwani ..nA nuke ndio viongozi wa ccm mnaotuongoza siwezi kushangaa wewe ni mshauri wa JK