Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,595
- 3,670
Wakuu nna tatizo kwenye koo langu, yaani kila napopumua ile kutoa hewa nje na kurudisha ndani kunakuwa na sauti flani ya mkwaruzo
Ni tatizo ambalo lina mwezi wa 5 sasa na nishaenda hospitali mara 3 napewa antibiotics natumia linatulia baada ya wiki kadhaa linaanza tena, na dokta aliangalia kwa tochi akaniambia ni vidonda vya kwenye koo
Sipati maumivu ila ni hali ambayo inanifanya nakuwa siko confotable
Kwa mwenye kujua tatizo hili linasababishwa na nn anisaidie au km kuna tiba yoyote mbadala naomba kujuzwa mana naona dawa za hosptal km zimegoma