Tatizo Sugu la Koo kutoa sauti wakati wa Kupumua

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,595
Reaction score
3,670
Wakuu nna tatizo kwenye koo langu, yaani kila napopumua ile kutoa hewa nje na kurudisha ndani kunakuwa na sauti flani ya mkwaruzo

Ni tatizo ambalo lina mwezi wa 5 sasa na nishaenda hospitali mara 3 napewa antibiotics natumia linatulia baada ya wiki kadhaa linaanza tena, na dokta aliangalia kwa tochi akaniambia ni vidonda vya kwenye koo

Sipati maumivu ila ni hali ambayo inanifanya nakuwa siko confotable

Kwa mwenye kujua tatizo hili linasababishwa na nn anisaidie au km kuna tiba yoyote mbadala naomba kujuzwa mana naona dawa za hosptal km zimegoma
 
Uzito wako ukoje na urefu wako pia(body max index BMI) isizidi 30 kama iko juu. Chukua uzito wako kwa kilo gawanya kwa urefu wako katika centimetre
 
Uzito wako ukoje na urefu wako pia(body max index BMI) isizidi 30 kama iko juu. Chukua uzito wako kwa kilo gawanya kwa urefu wako katika centimetre
Then inakuaje?

Uzito nna 63, urefu nna km cm 190 au 200,na mi ni mwembamba wa kawaida
 
Uzito wako ukoje na urefu wako pia(body max index BMI) isizidi 30 kama iko juu. Chukua uzito wako kwa kilo gawanya kwa urefu wako katika centimetre
Hii hesabu bdo sjaielewa kbs dadaangu
 
Uzito wako uko sawa lakini muone dr, kwa wa meme nyama za Shinzo zinakuwa nyingi kiasi cha kufunika koi. Angalia ka una allergy ibayosabixha koo kuvimba
Ok nashkuru, mwanzon nlihisi vumbi nkaondoa kapeti zote za manyoya ila nashangaa stil hali inajirudia
 
Chukua vitungu swahumu na tangawizi vitafune kwa pamoja itakusaidia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…