Tatizo visimbuzi Azam na DStv

Tatizo visimbuzi Azam na DStv

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
17,296
Reaction score
18,027
Toka jana mchana visimbuzi au visimbusi? vya Azam na DStv vimegoma. Message ni ya aina moja. Smart Card haijakaa vizuri.
Sijui kama kuna wengine wamepata tatizo hili na ufumbuzi wake umekuwaje.
 
Labda huko ulipo,mi hadi mechi ya west ham jana nimeangalia UTV ya azzam

Back
Top Bottom