mbelwaz
Senior Member
- Sep 12, 2017
- 133
- 121
Wakuu habarini,kijana wenu hapa Nina blog yangu ambayo nataka kui monetize kupitia adnow ili iweze kutumika kwa matangazo nami nipate malipo.tatizo ni pale ninapojiunga nayo tena katika sehemu ya mwisho kabisa ya Ku paste ile HTML link ya widget kutoka adnow.shida ni pale nnapo save inakubali tatizo kwenye Ku view blog ndo hakuoneshi matangazo.....wakuu nisaidieni