donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
<br /><font size="3">pole mkuu acha kula mchan uone inakuaje.......................huh</font>
hey wana Jf doctor. habari zenu? tatizo langu kubwa linalonikumbuka ambaklo si masiara ni kitendo cha kuhisi usingizi mzito pindi ninapotoka lunch break nikiwa kazini. nafaham kidogo kuhusu digestion process etc. lakini nashindwa kuelewa 'coz nikiwa home wala tatizo hili halinikumbi. Naomba muongozo tafadhali. Muito Obrigado
<br />Kunya kahawa au chai yenyerangi nyingi (majani yachai mengi) baada tu ya kumaliza chakula.
<br />kumbuka kunywa maji ya kawaida glasi 2 (ml 500) kila nusu saa kabla ya chakula na glasi moja nyingine masaa 2 kila baada ya chakula. <u>maajabuyamaji2.artisteer.net</u>
Kunya kahawa au chai yenyerangi nyingi (majani yachai mengi) baada tu ya kumaliza chakula.