Wanajamvi nina tatizo moja limeanza kama wiki mbili zilizopita, ni hivi, mi ni kijana nimeoa kama mwaka na nusu umepita na mi na mke wangu tunafanya mapenzi vizuri tu, tunapendana sana.
Sasa kuanzia wiki mbili zilizopita nikifanya mapenzi asubuhi kabla ya kwenda kazini uume unasimama mfululizo hata nikipiga bao la kwanza bado huendelea kusimama tena kwa nguvu utafikiri sijaona mbunye miaka 10.
Nikiendelea sasa kulitafuta bao la pili naweza kuchukua hata dk 30 sijapizi halafu namuumiza sana mke wangu. Sasa sijui ni nini hii. Naombeni ushauri wanaJF.
Asanteni.