hahahahhaha yaani alichora hadi kwenye makalio? usiwe na wasi na wewe chora kwenye sehemu za sir andika jina lako na nyingine chora chini ya kitovu andika jina lako
Kakomaa kiakili now. Alifanya hivyo wakati akiwa age ya 17-20. Tatizo lingine, mweupeee!
Hii imekuwa inanisumbua sana yapata mwaka sasa. Mpenzi wangu katika malavi lavi na kudadavuana ya kiujana na boyfriend wake wa kwanza. Boyfreind wake alimlisha yamini mpaka kafikia kuchora Tatoo mbili kwenye mwili wake. Moja ya pajani juu sana ina alama ya kopa na mameno Victa for Life. Na ya kwenye makalio ameandika For Simple V. Victa alimtenda na mahusiano yao yakaisha bila kufikia malengo yao. Now nipo mimi.
Nampenda, naitaji kumuoa ila hili linaniumiza sana
Kama namfahamu vile.......anaishi dodoma?
D ftr ke ufd...Man
Kakomaa kiakili now. Alifanya hivyo wakati akiwa age ya 17-20. Tatizo lingine, mweupeee!