Tatizo nimempa muda wa yeye kushuhulika nazo bila kumwambia (kipimo). Yeye hana habari kabisa. Anaona kawaida
Na huwezi jua unaweza kuta wakati unamla akili yake yote iko kwa Vikta
Kakomaa kiakili now. Alifanya hivyo wakati akiwa age ya 17-20. Tatizo lingine, mweupeee!
Kama namfahamu vile.......anaishi dodoma?
Hii imekuwa inanisumbua sana yapata mwaka sasa. Mpenzi wangu katika malavi lavi na kudadavuana ya kiujana na boyfriend wake wa kwanza. Boyfreind wake alimlisha yamini mpaka kafikia kuchora Tatoo mbili kwenye mwili wake. Moja ya pajani juu sana ina alama ya kopa na mameno Victa for Life. Na ya kwenye makalio ameandika For Simple V. Victa alimtenda na mahusiano yao yakaisha bila kufikia malengo yao. Now nipo mimi.
Nampenda, naitaji kumuoa ila hili linaniumiza sana
mm, victa hakula kalio kweli? Aliwezaje kumchora makalioni????
Anyway, nilikuwa napenda sana tatoo at 17 lakini sikuweza chora kwa kuhofia jamii na wazazi.
Sikuwahi waza chora makalioni lol
ila sasa nikimuona mwanamke na tatoo hata kitone simtaki.
hivi wewe ni MWANAMKE au MWANAUME? Nilikuwa naamini ni demu ila jinsi kila member anawasiwasi na jinsia yako kwa hii koment hata mimi wewe si mwanamke wala mwanaume ni binadamu tu asiyekuwa na jinsia.
ha ha ha ha, mie ni bina adamu.
hivi wewe ni MWANAMKE au MWANAUME? Nilikuwa naamini ni demu ila jinsi kila member anawasiwasi na jinsia yako kwa hii koment hata mimi wewe si mwanamke wala mwanaume ni binadamu tu asiyekuwa na jinsia.