Tatoo za mpenzi wangu, zinanivunja moyo. Nampenda ila sijuai nifanyaje

Mwanaume akiweka tatoo ujasiri, mwanamke foolish age mmh! Wanaume kibao wana mitatoo ya ma x wao, tena sehemu tata ila wanawake hawajui! Hata kama wakijua, hawana uwezo wa kuleta hoja ya kuzifuta
 
Chukua nairob flayi weka kwenye hiyo tatuu kesho yake anaamka hana.
 
Hahahahahahaaaa! Hommie imekuwaje tena? Wava mkali sha ikite la polisi mwanammeku..... Ifi uishi Kaizer ni mamrasa afo ng'aa?

wa areku mmeku? Mamrasa wakwa wa areku dhae,teng'via kongosho shu ni msoro au ni mfedhe dhae!
 
Last edited by a moderator:
mie ni kaka yake Paw, mbona nimeonamo na Kongosho?

Bora ujiandae mapema, natafuta mtafsiri nakuzukia PM.

we ni kuogope kwa lipi? Hata kama ungekuwa paw, hiyo code nilikuwa nagonga na bro wangu hapo asprn.
 
Babu, kula kona, hautakuwa na furaha maishani mwako ukiwa naye pamoja unampenda. Let her go! Najua hutanielewa ila itakucost sana! Bora asie na mchoro utapata imani kwa visivyoaminika ila huyo aliyechora nakuapia akimuona aliemchorea maneno mwilini lazima ampe mwili. Tafakari then chukua hatua.
 
Hua zinafutika baada ya mda fulani zenyewe,but kuna nyingine mpaka zifutwe na wataalamu..nionavyo nyie hamjaamua kushirikiana kutafuta solution mkiamua inawezekana sana kuzifuta!
 
Tuna safari ndefu sana ya kujitambua!
 
mkuu hii itamrahisishia jamaa kazi coz hatahitaji kujituma sana kumfikisha binti .... yeye akimvutia hisia victor tu mambo safi teh teh teh
:washing:😛hoto:
 

mwambie akaongezee maneno haya
''i hate'' itasomeka ''i hate victor for life'' na hiyo ya pili iwe ''for simple vuvuzela'' au MBANDIKE PLASTA ZA HOSPITALI ukishindwa nunua kiwembe cha operation then niPM nkuelekeze uje nae sehemu tumalize utaaata
 
hivi wewe ni MWANAMKE au MWANAUME? Nilikuwa naamini ni demu ila jinsi kila member anawasiwasi na jinsia yako kwa hii koment hata mimi wewe si mwanamke wala mwanaume ni binadamu tu asiyekuwa na jinsia.

teh teh! I lyk ths creature! Yuko flexible sana. Jinsia yake isikupe tabu, Ni mwanamke cuz hakuna mwanaume anaweza kucheza hyo role ya double personality effectively na akaconfuse umma km afanyavyo Kongosho! Teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…