Tatoo za mpenzi wangu, zinanivunja moyo. Nampenda ila sijuai nifanyaje

ndiyo matatizo ya foolish age hayo na asipoangalia itakula kwake... hapo mweupee una maana rangi ya ngozi au ni kipunga?

Rangi ya mwili wake. Uamuzi ukifikiwa wa kufuta, utaalamu wa hali ya juu utaitajika bila kuacha vitu kama makovu kwenye mwili wake
 
Victa for Life. For Simple V.
Nampenda, naitaji kumuoa ila hili linaniumiza sana

Kama sijakosea hayo maneo ndo yanakuuiza sana! Pole sana ila nadhani tatoo zinafutika tafuta wataalamu wa kuyafuta
 
Victa for Life. For Simple V.
Nampenda, naitaji kumuoa ila hili linaniumiza sana

Kama sijakosea hayo maneo ndo yanakuuiza sana! Pole sana ila nadhani tatoo zinafutika tafuta wataalamu wa kuyafuta
 
mavi ya kale haiozi, mtalaka hatangozwei, chata bada iko watakumbushana tuu upende usipende
 
kweli kupenda kazi kweli kweli haya wewe kula tu usihangaike na hizo alama
 
mimi ndie victor,kumbe wewe unatembea na demu wangu?


 

Tatoo zinatoka mkuu sijui kwa bongo kama tatoo removal studio sijaona bado.. Kuna msela wangu way back aliingia mambo ya dini akaamua kufuta mchoro sema yeye alitumia pasi ya moto hivyo amebaki na kovu kubwa zaidi ingawa mchoro uliondoka, tulihangaika balaa kutafuta ganzi mpaka tukaenda hospitali ya mkoa sekou toure kujaribu kumhonga dentist lakini akachomoa ilibidi tu amuombe msamaha mola wake kwa siku moja anywe Power (viroba vya those days) kadhaa na jani kisha kujipiga pasi ya mkononi.. Usiombee aisee maumivu yake.. Kama inakusumbua kivile u can go down to South Africa for a day or two kule nimeona drawing and removal studios wanatumia laser technology.
 
Kama upo tayari kuna dawa ya kutoa tatoo sema bei yake imechangamka..ua kafanye skin surgery.
 
 
acha upoyoyo....piga chini mazima...hakuna mke hapo....unless huna vitu vya kufanya zaidi ya mapenzi na huyo mnenguaji wa Akudo...ovyooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…