endelea naye tu, muoe kabisa, lakini kumbuka, katika maisha yake yote, hatakuja amsahau victa, huyo ndiye aliyempa moyo wote, siku yeyote wakija kutana hata kama umemzalisha watoto wanane, atampa tu na watajikumbushia ule upendo wao wa mwanzo ambao ulimfanya hadi amwandike kwenye paja karibu na sambusa yake.....hata wakati mwingine mkiwa sita kwa sita anaweza kuwa anamfikiria victa ndo a come, la sivyo pengine anaweza asifike. pole sana.
Natafakari kabla sijakujibu ni wa wapi. Ila siyo wa Dom
Piga Chini we mtoto wa kiume bhana, na uyo akuanza na victor. Haiwezekan kufuga mbwa wa mwenzio. Anaweza arud akwambie kwan we hukuta Jina la VICTOR kwenye paja. Utasema nin mzaz
teh teh! I lyk ths creature! Yuko flexible sana. Jinsia yake isikupe tabu, Ni mwanamke cuz hakuna mwanaume anaweza kucheza hyo role ya double personality effectively na akaconfuse umma km afanyavyo Kongosho! Teh!
Tatoo zinafutwa hata kwa tatoo zingine. Kwenye discovery Channel wanarusha kipindi cha TAtoo hunter. Ukiangalia utapata jibu lako. Kwa mfano, unaweza kwenda kwa Wabudha, wakamchora tatoo ya kiimani juu ya hizo alizonazo. Au nenda Mtwara kwa wamakonde, wanampiga chale juu ya hayo maandishi na kutatokea picha tofauti. Pole though!
unaweza kujitahidi ukaondoa hizo tattoo kwenye mwili wake... what is not known ni kama unaweza ukafuta mapenzi yake kwa victor kama yalivyokuwa represented na hizo tattoo..