Tatoo!!!!

Tatoo!!!!

mgange hussein

Senior Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
159
Reaction score
43
Amani kwenu wana jamii Forums.
Nimeona vijana wamejichora mwilini(tatoo.)Nauliza je,zinazochorwa kwa Mashine au sindano katika mwili Zinaweza kufutika tena na kutumia dawa au kitu gani.
 
Back
Top Bottom