M mgange hussein Senior Member Joined Sep 10, 2012 Posts 159 Reaction score 43 Dec 2, 2012 #1 Amani kwenu wana jamii Forums. Nimeona vijana wamejichora mwilini(tatoo.)Nauliza je,zinazochorwa kwa Mashine au sindano katika mwili Zinaweza kufutika tena na kutumia dawa au kitu gani.
Amani kwenu wana jamii Forums. Nimeona vijana wamejichora mwilini(tatoo.)Nauliza je,zinazochorwa kwa Mashine au sindano katika mwili Zinaweza kufutika tena na kutumia dawa au kitu gani.