Tattoo ya "jicho" moja

lakini zina mana zake ucione zinapendeza tu jua inamana gani
 
Ni wachawi hao hakuna urembo wala nini!!
 
jicho moja ni tigoni na kuwekwa huko nyuma ina maana mbaya/nzuri sana
 
sipendi tattoo lkn hivi kwa nini kila urembo wa mwanamke watu wanasema una maana fulani,na kinachonishinda kuelewa kwa nini maana hiyo lazima iwe inahisiana na TIGO.
 
ila hizo sio culture zetu,tumeiga tu,na most of girls wanaiga pasipokujua maana yake
 
sipendi tattoo lkn hivi kwa nini kila urembo wa mwanamke watu wanasema una maana fulani,na kinachonishinda kuelewa kwa nini maana hiyo lazima iwe inahisiana na TIGO.

Kwani kuna urembo usiokuwa na maana shosti?!!...enzi zetu mwanaume akichora nanga kwenye bega inamaanisha "baharia" au "mtu wa meli"
 
Aisee hii tattoo imependezesha sana kwa mrembo huyu...

Hiyo ni famous symol ya Illuminati aka freemasons. Hawa ni wale jamaa ambao wameshikilia dunia ambao wana-rule world by symbols. Jicho moja maarufu kama 'All seeing eye' ni moja kati ya symbol kuu ya illuminati ambayo ipo kwenye dollar bills

The new world order inasambazwa kupitia popular culture kama miziki, fashions na film...

The conspiracy theory is on....Don't take things at face value...World is ruled by symbols not by law or politics...
 
Kwani kuna urembo usiokuwa na maana shosti?!!...enzi zetu mwanaume akichora nanga kwenye bega inamaanisha "baharia" au "mtu wa meli"

siku zoote najua wee ni HE,kumbe shosteri.ok poa.
shosti ingekua kama ulivyoelezea ubaharia n.k hapo sawa lkn naona maana nyingi zinaambiwa zinamaanisha kuliwa TIGO ndo ninaposhangaa!
 
Jamani mbona inatisha badala ya kupendeza,nahisi yuko kny ule mtandao wa dunia,a.k.a fre,,,,,sons.Say no to it:hand:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…